Ubora wa Nondo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ubora wa Nondo

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by TUJITEGEMEE, Feb 7, 2012.

 1. TUJITEGEMEE

  TUJITEGEMEE JF-Expert Member

  #1
  Feb 7, 2012
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 10,776
  Likes Received: 2,677
  Trophy Points: 280
  Kwa kuwa soko la bidhaa hapa nchini limevamiwa na uchakachuaji,nikiamini kuwa vifaa vya ujenzi vikiwamo nondo navyo vimeathiriwa na hali hii.

  Najua kuna nondo zinaingizwa kutoka nje ya nchi kwa ajili ya matumizi ya ndani ingawa tunavyo/cho kiwanda cha nondo hapa hivyo wasiwasi wa kuingizwa nondo feki ukiwa mkubwa kwangu.

  Nijuavyo ni kuwa ubora wa nondo unaweza kupimwa kwa kutumia majaribio ya kimaabara likiwamo Tensile test, na kwa kuwa vipimo hivyo si rahisi kufikiwa kwa watumiaji wengi wa nondo huko site ili wajiridhishe na ubora wa nondo wazitumiazo.

  Je. Wahandisi na wadau wengine wa JF mnaohusika kwa namna moja ama nyingine katika utumiaji wa nondo,kuna njia mbala ya kutumia ilikugungua ubora wa nondo zaidi ya zile nilizotaja hapo juu ukiwa site na huna vifaa vya kimaabara karibu?
   
Loading...