Ubora wa camera ya Tecno camon cx

Of course kwa camera kwa simu za siku hizi hakuna anayemfikia tecno
Wewe utakuwa unatumia tecno tangu uzaliwe hadi leo, kwa mantiki hii huna uwezo mkubwa wa kufanya ulinganifu wa ubora wa camera za simu kutokana na brand mbalimbali,

Samsung
iphone
Sony
Lg
Nokia

Zishindwe na tecno kweli!!? Watu watakucheka ukitamka kwa mdono hadharani
 
Hapo Sony umenena
 
Huhuhuhuhu kweli kabisa mkuu, wanajifeel inferior sana kuambiwa ukweli
Maana ni kituko kweli tena picha ya tecno ukizoom mpaka mwisho mtu hautomtambua ndio uje ufananishe na iphone au samsung.....kitu cha gharama huwa kinakua na something extra.

So wacha tuwakubalie tu kuwa tenco ndio inayo camera quality kwenye market.
 
Wasijekusema tunawanyanyapaa
 
Naomba kujua kama ipo tofauti kati ya CX air na Camon CX.
 
Yaani kuna watu wanajiona baabu kubwa! Kama wewe hupendi TECNo wenzako twaitamani hasa na wengine wanakandia hats kiwanja hana(kula kulala)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…