Ubora wa Bombardier: Kwanini ndege hii imechukua siku 5 kutoka Canada hadi Tanzania?

Isanga family

JF-Expert Member
Feb 25, 2015
14,590
25,703
NOD kutoka Cape Town mpaka New York( JFK) ni 12560 Km ndege inatumia masaa 16 na dk 6 umefika USA non stop flight na marubani wanakuwa wawili tuu hicho kigezo chako cha razima Massa nane wapumzike sijaelewa umbali mrefu pia upo Addis mpaka Japan Ruban wanakua wawili tuu hakuna kusimama sehemu...
 
Hata baskeli huna. Nyumbu ndama wewe
KUTOKUWA HUNA BAISKELI HAKUKUONDOLEI UHALAL WA KUHOJI UKWELI !KILAZA MKUBWA WEWE HATA MLANGO WA NDEGE UKOO WENU WOTE HAMJAWAHI KUGUSA NGOJEA WAJE WALIPUKIWE NA HAYO MAKOPO NDIO MTATIA AKILI SISI NDEGE ZETU NI DEMOCRACY NA UTAWALA BORA !NGOJEA KIMBUNGA KINAKUJA
 
Hapa inabidi umuulize mropokaji na mpotoshaji mashuhuri kuwahi kutokea nchi hii, Tundu Lissu.
jiangalia katika ukoo wako kama kuna mtu msomi high lelvel thinking kama Lisu. angalia uzao wa baba yako kama kuna mtu kama Lisu, kuwa mkweli!
 
NDEGE NDIO NIN HAYO MA OLD MODEL TUSUBIR SIKU YA KUKATA MASCRAPER TUPATE NONDO ZA MASHIMO YA VYOO VYA WATOTO WETU MASHULEN WAACHE KUPISHANA NA WALIMU WA DEGREE!
Ukitaka hivyo hata wewe/ binadamu ni old model coz tunahitaji kuona binadamu mwenye miguu minne, matako yawe mbele mboo nyuma. Wasiliana na mungu wako akubadilishe jinsia coz toka uzaliwe unayo hiyo hiyo.
Maana yangu ni kuwa inaweza ikawa ya zamani lakini inaendelea kuzalishwa kutokana na umuhimu na ubora wake. Sio kila cha zamani kibaya, utajikuta hata wewe ni wa zamani na umeendelea kuwa bora siku zote kiasi kwamba ukoo wako unakutegemea.
 
jiangalia katika ukoo wako kama kuna mtu msomi high lelvel thinking kama Lisu. angalia uzao wa baba yako kama kuna mtu kama Lisu, kuwa mkweli!

Kwetu sote tumesoma na kaka yangu mkubwa ndiye alikuwa anamfundisha Lissu ila Lissu alijiharibia mwenyewe kufikiri anajuwa kumbe alijiunguza jua.
 
NOD kutoka Cape Town mpaka New York( JFK) ni 12560 Km ndege inatumia masaa 16 na dk 6 umefika USA non stop flight na marubani wanakuwa wawili tuu hicho kigezo chako cha razima Massa nane wapumzike sijaelewa umbali mrefu pia upo Addis mpaka Japan Ruban wanakua wawili tuu hakuna kusimama sehemu...

Kwa akili yako, ndege aina ya Bombadier inatakiwa ichukue muda gani kutoka Canada hadi Tanzania?
 
Kwa akili yako, ndege aina ya Bombadier inatakiwa ichukue muda gani kutoka Canada hadi Tanzania?
Kujua ndege inatumia muda gani kutoka Canada mpaka Tanzania nayo ni akili? waliogundua Newton's law au gravitational force hawa ndio wametumia akili Mkuu watu wanagundua vitu kila kukicha...ngoja niishie hapo
 
Back
Top Bottom