Ubora wa Bombardier: Kwanini ndege hii imechukua siku 5 kutoka Canada hadi Tanzania?

Mh Tee Bag, jambo usilolijua ni bora ukauliza na kupewa elimu. Ndege zimegawanyika katika masafa matatu ya safari. Masafa mafupi (short haul), ya kati, na marefu (longhaul). Dash 8 Q400 ni short haul yaani inasafiri umbali mfupi na kama sikosei ni massa matano bila kutua. Baada ya hapo ni lazima atue ili kujaza mafuta. Na ndio maana uwezo wake au inatumika kwa tija kwa safari fupi zisizozidi masaa matatu la sivyo hakuna tija. Tukirudi kwenye hesabu zako, uwezo wa ndege kuruka umbali mrefu bila kutua hutokana na uwezo wa injini na pia ujazo wa mafuta. Uwezo wa injini za Q400 ni kwa umbali mfupi na pia ujazo wa mafuta ni mdogo kiwezesha kwenda masafa marefu bila kutua. Nadhani ujazo wake wa mafuta ni kama lita 6500 yanayoiwezesha kuruka 2600 km bila kutua. Fanya hesabu sasa ukitilia maanani kuwa rubani haruhusiwi kuruka zaidi ya masaa manane kwa siku. Pia usiku walipumzika na easter hawakuruka utupe jibu. Usipige hesAbu za kusafiri na pikipiki dar mpaka mwanza non stop.
 
Kwahiyo mlitaka iweje? Mumeshambiwa marubani walikuwa wanapumzika kuchimba dawa na kusalimia mabalozi wetu katika nchi walizopita,

mtu ukigomboa noah yako bandarini siunapiga misele miwili dar, ukifika moro unakula vichwa, ukifika dodoma unajipoza na nyamachoma za mnadani, tabu iko wapi?
 
Paschal unataka kutuambia ile ndege ya boss wa barrick ilikua na marubani 6?
Mbona mnakuwa vilaza hivyo, huko vichwani mmejaza mavi?
Mmeambiwa, ndege kama hii Bombardier Q400 toka Canada hadi Tz inahitaji atleast 6times refueling, meaning itatua minimum viwanja sita, na pia mmeshaambiwa marubani walikuwa wawili tu,
Watz wengi ni Vila.za sijui huko mashuleni mnafunzwa nini.
 
Mi nauliza tu jamani, hii ndege inachemsha ama? Maana ile ndege ya Mwenyekiti wa Barrick ilichukua masaa 21 tu kutoka Canada hadi Tanzania, sasa hii ndege inakuwaje mpaka isafiri toka Mwezi wa 3 na kufika Tanzania mwezi April?

barafu Saidia

View attachment 732113



Hapa isijekua ya kile kivuko cha Dar to Bagamoyo watu wanafika Zanzibar na kurudi Dar hakijafika Bagamoyo na kiliishia wapi kile kivuko wa Tanzania tusiwe wasahaulifu .
 
Kutoka Canada mpaka Dar es salaam ni maili 7961.2.
Kwa ukubwa wa ndege aina ya Bombadier Q400 husafiri kwa saa maili 400.Hivyo ndege yetu bombadia Q400 iliyokuwa imekamatwa Canada na wadeni wetu ilipaswa kusafiri kwa saa 18 tu kwa maana hiyo kwa kuwa iliondoka ijumaa tarehe 30 march 2018 ilipaswa kufika dar es salaam jumamosi.Cha ajabu ni kwamba mpaka Leo siku ya nne haijafika.

Kwa maana hiyo ndege hiyo ikifika Leo tarehe 2 April siku ya jumatatu itakuwa imesafiri kwa saa 96.
Hivyo maili 7961.2 ndege yetu inasafiri kwa saa 96 inamaana ndege hiyo tunayoiita mpya na inafungiwa mlango kwa nje badala ya ndani kama ndege nyingine kwa saa inasafiri maili 78 wakati ndege zenye ukumbwa sawa na ndege yetu husafiri kwa saa maili 400 yetu saa maili 78.
Bundi husafiri kwa saa maili 91,Kunguru husafiri kwa saa maili 98 kwa maana hiyo bundi ana spidi kubwa kuliko ndege yetu tunayoiona mpya,Kwa maana hiyo kunguru ana spidi kubwa kuliko ndege yetu tunayoiona mpya.

Haiwezekani ndege ilianza kusafiri tangu mwezi march mpaka April kutoka Canada to Tz tuiite mpya.Hamkumbuki juzi hapa mwanasiasa wa Kenya migunamiguna aliondoka Canada 25 march 2018 na 26 march 2018 akawa amefika Kenya pamoja na kwamba ndege aliyopanda sio ya moja kwa moja kwa kuwa ilipitia Dubai lakini alitumia siku 1.iweje yetu ambayo haipitii Dubai isafiri kwa siku 4? imekuwa tren la diesel?au trecta?

Sijui hata mkini-tundu lissu mimi mdude nilishaaga hoja hujibiwa kwa hoja na ukweli lazima usemwe hata kama unauma kiasi gani.

Sumu ya nyigu-Freedom Fighter

View attachment 732133
Unaonyesha hujui lolote/unajua kiduchu sana kuhusu usafiri wa anga
 
Hujui msemo unaosema No hurry in Africa? Kwani kulikuwa na mashindano? Inakuja polepole,taaratibu.....kwa umakini! Sasa ile ya mwenyekiti wa barrick ilikuwa inawahi makinikia kesi.Ya kwetu haina hayo.inakuja kwao sasa iwahi ili iweje?
 
Kamanda, naona hawatoi majibu yanayoridhisha, mi nadhani tusubiri kamanda [HASHTAG]#lissumsaliti[/HASHTAG] atoke hospital atatujuza zaidi.
 
Back
Top Bottom