UBORA WA BATI HILI

UBORA WA BATI HILI

kikorobota

Member
Joined
Aug 23, 2014
Posts
14
Reaction score
10
Waungwana nauliza ubora wa bati la kampuni ya Kiboko lenye jina la Corrugated Mangalore 28 blue kama linapauka ama lah, nimepita hapo kamaka limenipendeza machoni nataka nichukue nipaulie, msaada tutani tafadhali kwa wenye uelewa.
 

Attachments

  • IMG_20190302_120058.jpg
    IMG_20190302_120058.jpg
    101.9 KB · Views: 22

Similar Discussions

Back
Top Bottom