gypsum zote zina sifa ya kutopitisha maji na kutokushika moto sababu material yake ni ungaunga, hiyo sifa ya tatu itategemea aina ya supporter utakazoweka juu na ukubwa wa board yenyewe, ikiwa nyembamba ni tofauti na ikiwa nene, angalia uwezo wako unaangukia wapi, kila la heri!Ndio, gypsum.
Gypsum board yoyote haiunguagi moto, kwa suala maji inategemea na cover lake la juu. Ikiwa bei yake inaanzia 18,000 kwenda juu itakuwa ina ubora, na ikiwa iko chini ya hapo ni yeboyeboWadau nimekutana na bidha za Achi Board, ambapo kampuni yenyewe iko maeneo ya Tegeta, Dar. Hivyo naomba mnijuze juu ya hizi bidhaa za Achi. Kwa yeyote mwenye uzoefu ama kutumia au kuona zimetumika naomba anisaidie yafuatayo.
Je ni kweli
1. hizo board hazipitishi maji?
2. haziungui na moto?
3. zinadumu kwa muda mrefu (lifespan)?
Nauliza haya kwa sababu nipo kwenye uhitaji wa ceiling board hivyo nimependa kujua hayo machache. Natanguliza shukrani zangu kwenu.
Hapana mkuu, za china na tz zinalowana kirahisi but za taiwan, india na south Africa zina ubora na hazilowani kirahisigypsum zote zina sifa ya kutopitisha maji na kutokushika moto sababu material yake ni ungaunga, hiyo sifa ya tatu itategemea aina ya supporter utakazoweka juu na ukubwa wa board yenyewe, ikiwa nyembamba ni tofauti na ikiwa nene, angalia uwezo wako unaangukia wapi, kila la heri!
ahsante mkuuHapana mkuu, za china na tz zinalowana kirahisi but za taiwan, india na south Africa zina ubora na hazilowani kirahisi
gypsum zote zina sifa ya kutopitisha maji na kutokushika moto sababu material yake ni ungaunga, hiyo sifa ya tatu itategemea aina ya supporter utakazoweka juu na ukubwa wa board yenyewe, ikiwa nyembamba ni tofauti na ikiwa nene, angalia uwezo wako unaangukia wapi, kila la heri!
acha ujuaji mkuukutopitisha maji???????, kajaribu kuweka maji juu yake.
Mkuu sana,acha ujuaji mkuu