rifwima
JF-Expert Member
- Apr 21, 2010
- 507
- 214
Hello JF memebers,
Kama somo linavyojieleza hapo juu, naomba wazoefu/wajuzi wa magari wanijuze kuhusu aina hii ya gari. Navutiwa kuinunua kwa sababu napendezwa sana na muonekano wake na namna ilivyo. Lakini nisingependa kuwa na gari ya kunipa stress as maisha yenyewe ya kibongobongo ni stress tosha.
Natanguliza shukrani.