Ubongo wa mwanamke haupevuki

Ulichokiandika kinadhihirisha dhahiri ulivyo punguani!
 


Sky Eclat na Faiza Foxy mmeyasikia haya maneno??
 
Reactions: BAK
Hakika! Huyo mtafiti wao uchwara akojoe akalale! Bado hajawajua wanawake vizuri.
 
Mama yako aliyekuzaa katika kundi hilo yupo?? Au ulishushwa?? Unapokejeli wanawake lazima ujue mama yako yupo!!!!
 
Nakuunga mkono. Naona huyu kafanya utafiti kupitia mama, bibi, shangazi, dada zake wote ndo kaja na hii conclusion.
Huyu katoka kwa wale wanawake mashambenga wasiojielewa, wasiothamini familia na wasio na elimu period.
 
Hata watoto wanaweza kulea watoto mkuu, utafiti hupingwa kwa tafiti nadhani mpaka hapa bado hujatafiti.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Don’t trust a woman even you’re mother.Kuna sehemu nilisoma andiko hilo.


iPhone 7plus
 
Mimi nadhani Me na Ke tumeumbwa/tumewekwa pamoja ili ku-balance mapungufu yetu, kama mke hana ujasiri wa kufanya rational decisions/judgement, basi mume atasimama hapo, kama mume hana skills za malezi, mke atasimama nafasi hiyo.

Dunia hii hakuna jinsia iliyopewa uwezo wa kila kitu, mapungufu ya Me yanafunikwa na uwezo wa Ke and vice versa is true.
 
Dear Mtende, how are things?
Mimi nawaheshimu sana wanawake, hasa wenye watoto!
Nikichukulia mfano mama yangu mzazi, hapo ndio huwa nawavulia kofia wamama wa kiafrika!
Mama yangu kaniokoa na mambo mazito sana kwa kufanya maamuzi ya haraka sana!
Mfano:
1; nikiwa na miaka minne, nilipungukiwa damu mpaka kufikisha 15, hapo baba ananiangalia tu bila msaada. Mama kaninyakua na kunikimbiza hospitali usiku wa manane, mwendo wa 40kms kwa miguu, nikanusurika! Baba kakaa ndani anaangalia tu! Nikapona!
2: Mama kanibeba tena mgongoni nikiwa na miaka 13, mkubwa kabisa, mchana wa jua kali jua likiwa Mama nanii, umeongea kwa hisia sana! Akina mama mnapitia makubwa!
Mama yangu aliniokoa nikiwa na damu 15 tu, baba ali-mute tu, mama akaniokoa mpaka leo mimi ni Mwanaume wa Miraba Minne, Mrefu na Mwenye nguvu na akili!

Akina mama mnachangia 85% ya maisha ya mtoto!

Over
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…