hapa sasa ndipo inakuja kitu kinaitwa Genetics -- koo zingine zinakuwa na tatizo hili la kutotunza kumbukumbu.
kaka si ubongo tu, system nzima ya mwili wa binadamu ni so complicated kiasi kwamba ukisoma unaweza kuogopa hasa kwa sisi ambao hatukusomea elimu ya viumbe hai.
Kuna siku daktari wa wanawake, alinisimulia namna process ya kujifungua inavyofanyika - aisee niliogopa sana, nikatamani nisingemuuliza!! very complicated - kama process moja itachelewa tu basi unaweza kupoteza mama au mtoto.
kaka si ubongo tu, system nzima ya mwili wa binadamu ni so complicated kiasi kwamba ukisoma unaweza kuogopa hasa kwa sisi ambao hatukusomea elimu ya viumbe hai.
Kuna siku daktari wa wanawake, alinisimulia namna process ya kujifungua inavyofanyika - aisee niliogopa sana, nikatamani nisingemuuliza!! very complicated - kama process moja itachelewa tu basi unaweza kupoteza mama au mtoto.
Na ngumu zaidi ni kwamba hakuna kinachoonekana zaidi ya kuobserve activities (za umeme) katika regions mbalimbali za ubongo. Hii ni sawa na kuangalia matokeo ya behaviours fulani na kujaribu kurelate na nadharia tofauti. Lakini kwa sasa stadi za eneo hili zinaadvance sana kwa kuwa na tech inayorahisisha majaribio tofauti.
Mungu atabaki kuwa Mungu maana katuumba wanadamu kwa jinsi ya ajabu sana.
mkuu nashukuru kwa elimu nzuri mi nna swali naomba unisaidie..
imewahi kunitokea si maa moja.. kwamba kuna saa nahisi tukio au siku kuwa imewahi kutokea au inafanana na siku nyingine......
sijui kama naeleweka... mfano jambo/tukio linaweza kutoa alafu katika ubongo nahisi jambo/tukio kama hilo limewahi kutokea tena katika mazingira yaleyale....
hii inasababishwa na nini
Ni eneo dogo la ubongo linalohusika na utunzaji wa kumbukumbu, sio mfumo wa fahamu wote. Lakini hizo tafiti zinapendekeza ni wapi hasa memories zinatunzwa apart from sehemu ya ubongo?
Nyie ndo huwa mnaharibu ladha ya jukwaa. Watu wanaongelea tafiti za kisayansi wapuuzi kama nyie mnaleta habari za mungu na imani zake... jinga sana.
Nyie ndo huwa mnaharibu ladha ya jukwaa. Watu wanaongelea tafiti za kisayansi wapuuzi kama nyie mnaleta habari za mungu na imani zake... jinga sana.
Hizi tafiti zinaonesha kumbukumbu hazitunzwi kabisa kwenye ubongo
Kuna tafiti mbali mbali ambazo wataalam walikuwa watatafiti kama kuna maisha baada ya kifo na hapo ndipo ambapo waligundua maajabu
Kuna watu ambao walikuwa "clinical dead" walipokuwa wanafanyiwa upasuaji wa maradhi mbali mbali,baada ya upasuaji ule baadhi waliweza kuelezea kile ambacho madaktari walikuwa wanakifanya na kujadiliana wakati wa upasuaji ule
Kuna mmoja aliweza kumuona mama yake akilia nje ya chumba cha upasuaji wakati yeye akiwa amelala huku akifanyiwa upasuaji na hata aliweza kusema maneno aliyokuwa anayatamka wakati analia na zaidi sana aliweza kuona mahali alipokuwa ameweka funguo za gari lake wakati akiwa amekaa nje ya chumba cha upasuaji huku akiwa amechanganyikiwa
Matukio hayo yote mawili yaliweza kushuhudiwa na na watu ambao waliyathibitisha kuwa ni kweli,watu hao kama walikuwa clinical dead hiyo inamaana kuwa hawakuweza kuyaingiza hayo matukio kwa milango mitano ya fahamu ili yaingie kwenye kumbukumbu kama kweli zikanaa kwenye ubongo
Nimekueleza kwa kifupi sana mkuu,ngoja nikapekue halafu nitarudi hapa!
Mkuu Monstgala. Ahsante kwa mada nzuri. Jee kuna uhusiano kati ya ubongo na uti wa mgongo?
Mkuu umeniwahi, nilitaka kumfurumushia mbali huyu. Hivi hatuwezi kuwa na rational discussion kuhusu kitu chochote bila kumhusisha Mungu?
Asante kwa elimu mkuu.
Kuna mkulima alichezea kichapo kikali sana kutoka kwa mfugaji ni ugomvi baada ya kukuta mifugo shambani kwake.
Inasemekana alipigwa sana fimbo kichwani mpaka akapoteza fahamu.
Baada ya fahamu kumjia,alikuwa amepoteza kumbukumbu zote muhimu yaani hadi sura za watoto wake wanne pamoja na mke wake hadi kwake amepasau na ndugu zake wote akawa hawakumbuki lakini majina anayakumbuka vizuri Tu.
Mpaka umauti wake baada ya miaka 37 alikuwa katika hiyo hali.
SWALI:Hivi hii kitu inaweza kuelezewa kitaalamu kweli ikawa inaeleweka? Yaani nini hasa kilitokea kwenye ubongo wake?
Dah! mkuu mada safi sana hii.
Binafsi sipendi nyau. Napenda sana mbwa! Na sitakikuamini mbwa ni vilaza ukilinganisha na paka! Kwa maana kumtrain mbwa ni rahisi kuliko paka. (in my opinion) Embu toa udambwi udambi udambwi kuhusiana na bongo ya mbwa.