Mamaaa, mbavu zangu..
Ila Mkuu jamaa amejaribu kuongelea majority, msamehe bure..
:focus: Nadhani kutokujiamini kwetu pia kunachangia kuishi ki-used used muda wote.. Hatuamini kuwa vitu vipya vimewekwa kwa ajili yetu tuvitumie, hata kwenye mahusiano mara nyingine huwa tunaingia eti kisa wanaotuzunguka wote wana watu wao, hivyo kwa kuogopa kuonekana mtu wa ajabu tunajikuta tunaingia kwenye mahusiano yasiyokuwa na malengo.. Matokeo yake wakati wa kuoa/kuolewa inakuwa ngumu kumpata ambaye siyo used.
LOL