STEPHEN JIBE
Member
- Jan 23, 2013
- 61
- 8
Mfano wa ulichokitoa sio watumiaji wote tunatumia..nazungumzia apps ambazo ni commonly used. Simaanishi kuwa natumia simu hii,nilipewa kwa ajili ya kufanya testing na nikaikubali.
mkuu tecno sio fake ni low quality phones.
simu fake ni ipi na low quality ni ipi?
fake ni ile ambayo inapromise kitu ambacho haina. mfano umeandikiwa icon ya wifi then ukiclick ni bluetooth, ina app ya fb ukiclick wanakupeleka kwenye browser ya kichina, imeandikwa kwenye box ni hd wakati kioo ni 128x128
tecno ni low quality vitu vyote inavyo wifi, 3g, android na kila kitu sema vipo vya low quality. mfano kwenye simu zake wanatumia vioo vya tft ambavyo havina gorila glass (vioo vigumu). wanatumia resolution ndogo (240x320, 320x480) processor ndogo, ram ndogo.
hope umeelewa
Bado sijakubaliana na wewe..
Simu Made in China ziko ktk madaraja 3..
1. Orijinal,ambazo huuzwa zaidi Uk,USA,ASIA na ni ghali haswa.. like Dapeng,Motorrola,ZTE, Tecno nk..
2.Hizi ni copy ya orijinal ambazo huuzwa China yenyewe,Dubai,Asia,na Baadhi ya Nchi za Africa( hizi huwezi toa kasoro zikiwa pamoja,I mean copy & original)
3. Hapo ndipo vurugu zilipo,hizi hazina trade mark,wala warrant card..
Na huuzwa Nchi maskini ikiwepo Tanzania..
Tecno as Tecno,ni simu original yenye quality pouwa na bei ya chini..
Imelenga kuweka ushindani na Nokia,Samsung,Lg nk..
Smart Phone N7,Phantom,P3 ni simu bomba, zina uwezo na internet ya 2G,3Gna 4G..
Mimi ni muuzaji wa Simu 10yrs sasa,nazifahamu sana fake na original..
NB;
Fake huwezi kupewa warrant
Original utapewa 1yr + 1month warrant..
Micromax wanauzaje simu na maduka yapo wapi
Mkuu nimezungumzia apps sio specifications.
hapo umeongea politics tu, kiwanda cha tecno kipo wapi? makao makuu yapo wapi? (ueke source za internet)
Makao makuu yako China,na Nairobi kuna Wakala wa Tecno East Africa.. acha ubishi mimi ni muuzaji wa simu kwa miaka 10 sasa...
Ndugu kuna ubishi umetokea mtaan kwamba simu aina ya tecno ni fake ,wengine wakidai ni orignal .hapakuwa na evidence yoyote ya kuweza kuproove zaidi ya kuangalia IMEI bhasi.wanajamvi kwa mwenye ujuzi tafadhali 2pe msaada
Hapa hatukatai kwamba Mchina hana vitu bora anavyo tu mfano ninayo laptop ya Acer Aspiere TimelineX Intel Coer i3 made in China vitu vyake ni vizuri mno hata kwenye soko computer za Acer ziko juu kwa ajili ya ubora wake,lakini hapa ubishi wetu ni kuwa Tecno sawa wanatoa sim original lakini hawajatoa za kufikia kiwango cha s3 au s4 kwa ushahidi jamani kuna app kwenye play store ya Android inaitwa Antuntu Benchmark hawa jamaa wanakupa orodha ya sim za Android na rank zake kuanzia ya juu mapaka ya chini sasa tucheck kwenye hii app tuone model ya tecno iliyopo kwenye orodha ni ipi na ni ya ngapi nafikili hapa tutapata ufumbuzi km sio kumaliza ubishi wetu kabisa.Tecno kama brand ni brand maarufu duniani ikiwa na makao makuu Hongkong sasa ufeki hata Apple kuna feki
Tecno PhantomHapa hatukatai kwamba Mchina hana vitu bora anavyo tu mfano ninayo laptop ya Acer Aspiere TimelineX Intel Coer i3 made in China vitu vyake ni vizuri mno hata kwenye soko computer za Acer ziko juu kwa ajili ya ubora wake,lakini hapa ubishi wetu ni kuwa Tecno sawa wanatoa sim original lakini hawajatoa za kufikia kiwango cha s3 au s4 kwa ushahidi jamani kuna app kwenye play store ya Android inaitwa Antuntu Benchmark hawa jamaa wanakupa orodha ya sim za Android na rank zake kuanzia ya juu mapaka ya chini sasa tucheck kwenye hii app tuone model ya tecno iliyopo kwenye orodha ni ipi na ni ya ngapi nafikili hapa tutapata ufumbuzi km sio kumaliza ubishi wetu kabisa.By mfianchi
Tecno kama brand ni brand maarufu duniani ikiwa na makao makuu Hongkong sasa ufeki hata Apple kuna feki
kwani mkuu hamna nokia original zenye vitu hivyo....au hata nokia tochi ni nokia fake???
Bei rahis+ techno = mchainizi!! Hii haiitaji kalkuleta jaman!!!
labda ulikuwa unafanansha samsung galaxy pocketmi natumia tecno n3 chuoni huku wanashangaa sana eti inapiga mzigo jama samsung hadi inazidi maana ni android kila uchafu wa android mi ninao magame n.k