Ubishi mtaani kuhusu tecno mobile



Thats Q1 ila kwa mwaka mzima 2014 the best was MTK Processor,
Sasa ya Q1 subiri MTK nao watoe matoleo yao Mapya ndio uje uongee lakini sio kuvizia wewe unatoleo la 2015 wengine wana 2014 then unafananaisha.

 
Thats Q1 ila kwa mwaka mzima 2014 the best was MTK Processor,
Sasa ya Q1 subiri MTK nao watoe matoleo yao Mapya ndio uje uongee lakini sio kuvizia wewe unatoleo la 2015 wengine wana 2014 then unafananaisha.


Sasa we MTK processor itakusaidia nini ?
Mana ata OTA updates haina, walionunua Hong Mi mpaka leo wamebaki na Jellybean mana updates hawawezi kuzipata.
 
Swala la kuweza ku run two games at a time ni kweli kuna baadhi ya tecno haziwezi, na pia zipo zenye uwezo. Kuna tecno model nyingi na specs tofauti tofauti. Vivyo kwa simu zingine zipo zenye uwezo na specs tofauti. Sio kila samsung au htc etc zina uwezo wa kufanya kila kitu
 
Ila motorola zinaweza lineup yote
 
Tunazungumzia kampuni flani na simu zake kwaujumla, wala sio simu moja moja, ila wewe ndo unaeleta discussion ya simu moja moja. "sales"

snipa

KAma ni ubishani w akujifurahisha tu nai zaidi nani hovyo sasa kuna sabbau gani ya kubishana, its Abvious I Phone yupo juu kwa kila kitu.

Lakini Tukija kwenye Value for Money hapo ndio tofauti inapoanza.

basi niishie hapa,
Siku Mukija kudiscuss VALUE FOR MONEY mniite nije na TECNO Z Min yangu tushindane hoja kwa hoja na facts na evidence.

Alamsiki.
 
Last edited by a moderator:

Watumiaji wa TECNO niwabishi sana..
Siwezi jihusisha na ushindani wa Tecno na aina yeyote ile ya known bland smartphone.
Yani mmeshindwa na Tecno mkaja kujidefend kwakutumia Xiaomi ili mjilegitimate na hoja zenu.

Xiaomi ni kampuni kubwa na inayoelewa inafanya nini tofauti kabisa na tecno.
Hiyo Tecno Z kwa price ya laki 6 haideserve kabisa.
Kazi njema.
 
Last edited by a moderator:
Tecno huwa sizidishi laki na nusu....
Na hio yote ni kwasababu uwezo kidogo unabana mambo ni mengi that's why naitumia hii H5...
Siwezi kuwa na uwezo wa kinunua S5 au HTC au LG halafu ninunue tecno....



Mtabishana mpaka kiama lakini tecno unless wahame technology na waboreshe hardwares zao,hawawezi kuwa na high ends devices za kuwashinda Samsung ikija kwa suala la high ends phones.
Enough with the ---- that phantom Z is better than S4???
 

sasa wewe unatumia h5 jilinganishe na wanaotumia galaxy pocket, ila sisi wa Phantom z tunapiga kazi zoote anazopiga mwenye S4, nina kioo cha hd cha super amoled, nina ram ya 2GB, nina camera ya 13mp nyuma na 8mp mbele tena zote zina led flash, nacheza hd games zooote. kama GTA San Andreas, Asphalt 8, Fifa 15, na nyingine kibaoooo... by the way Phantom z mini ina kila ninachokihitaji katika smartphone kwa sasa.. ni hayo tuuu
 

Inavyo vyote unavyohitaji,ila haiwezi kuwa bora ya Samsung S4...
Pia mkuu usidhani kwa kuwa now natumia h5 ukadhani sizijui hizi simu za line mbili(tecno)...
Uzuri unlike you,mm nimetumia both Samsung na tecno....
Seems phantom Z kwako ndo high end phone ya kwanza.
 

Hapo ktk camera mkuu wamekuandikia 13 mp lakini ukipiga picha ni mp2
 

ndo dharau au? me nimetumia brand nyingi sana za simu, galxy Note 2, sony xperia z na iphone 5,, na zote performance yake almost naifananisha na Phantom z, sema majina yanazibeba tuu
 
Hapo ktk camera mkuu wamekuandikia 13 mp lakini ukipiga picha ni mp2

sio kweli, naweza kurecod video ya 1080p na ikacheza clear sana kwenye laptop yangu alafu uniambie camera ni 2mp?? baaaado sanaaa..
 
sio kweli, naweza kurecod video ya 1080p na ikacheza clear sana kwenye laptop yangu alafu uniambie camera ni 2mp?? baaaado sanaaa..

2mp inaweza kuwa 1600 x 1200 hivyo ki theory inaweza kabisa kurekodi 1080p na ukaangalia kwenye laptop. megapixel 2 ni kubwa sana even iphone zinapiga kwa megapixel 2 zinafanya oversampling. kuna security camera kibao zina 2mp na zinatoa video za 1080p clear kabisa.

huwa hakuna mahusiano kati ya ubora wa camera na megapixel unless hizo megapixel unazitumia kwa vitu kama oversampling, quality ya camera ni vitu vyengine kabisa
 
ki ukwel tecno zote ni fake tu, na ndio maana hata zinapotengenezwa hapajulikan, wameandika made in chana lkn cha kushangaza nimeishi china miaka mingi lkn cjakutana na hzo cm! yeyote mwenye ushahid wa kuwa ameshaziona china atueleze zipo mji gan maana mi nimetembea miji yote ya china cjaziona
 


Ndugu wacha wawe wabishi kwa maana wamekuwa wakitukanwa na kubenzwa sana na watu wano andika maneno matupu bila ushidi humu.

nakupa Home work niletee simu ya laki nne ya mwaka jana 2014 yenye uwezo sawa au zaidi ya Phantom Z min.

hakika huwezi pata popote labd ahurudi hukohuko china.
 


Phantom z mbona kubwa sana, mimi nataka simu ya 2013 ya 150,000/- yenye uwezo sawa na tecno P5
 

Tecno ni cheap, lkn ina mambo makubwa.
Naikubali sana hii H6 yangu.

TECNO hoyeeeeee......
 
Iyo maabaraa ya kimataifa inayopima simu inaitwaje? Na je simu za tecno nazo zimepewa Cheti chenye namba hizo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…