https://www.google.com/url?q=http:/...0QFjAA&usg=AFQjCNFTwNk36Yx-1kr3bw3aCiVuKfl5Pg fata hii link au zipo nyingine za dizaini hiyo.
Mimi natumia p3 nayo ni kali kiasi chake
mkuu ukiwa huna android ya yenye ram 1gb na dual core processor unapata ---- application tu, hutacheza hd game hata moja kwa raha. nyengine hata store huzioni, labda uwe sio fans wa magame
Techno ni simu nzuri zina uwezo mkubwa kuliko Hata simu nyingine ninazo zifahamu. Shida ya sisi watanzania ni malimbukeni tunapenda sana product yenye advertise nyingi kwenye media. Tunakaa kama wazee wazamani
Wewe unashindwa kutofautisha kati ya Clone na Fake.
TECNO wakitengeneza Simu inayofanana na samsung S5 tutaita clone ya S5 kutoka samsung.
Na TECNO wanapotengeneza simu zao nakudai zina specifications kubwa kuliko uwezo halisia tunaita ni fake.
Mfano tukianzia na P3 yenye camera 3MP, inapiga picha quality ya 1MP/0.5MP hapo inamaana TECNO wamedanganya, kwahiyo Tecno P3 ni fake, jaribu ata kuangalia picha iliyopigwa na Asha 200/201 yenye camera 2MP kama itafanana na P3 yenye camera 3MP.
Camera
Processor
Ram
Design
Maaana Tecno Wanakuwekea Camera ya 13MP ila. Inapiga picha za 5MP. Upo
Ahsante mkuu, usidhani nina inferiority katika hili. Hukufuatilia mtiririko awali unadhani watu wengi wananunua simu kwa ajili ya Games?I hate people wanaocompare mambo kisa inferiority zao... Huwezi kucompare Samsung na Tecno Eti kisa Zinaweka App Zinazofanana
Mtaalamu hawezi akafanya Jambo hilo.. maana Simu zote zinafeature nyingi zinazofanana. Ukiweka Eti zina App zote unaonekana wa Ajabu kama Simu zote zinapiga Simu. Kama Kutuma message zote zinatuma. Ila Si kigezo cha Kusema Zinafanana.
WATU HAWAFANANISHI SIMU KWA SOFTWARE WANAFANANISHA KWA HARDWARE ZILIZOPACKIWA KWENYE SIMU NA TECHNOLOGY ILIYOTUMIKA.
TECNO INA CHEAP TECHNOLOGY NA INALAGGY ZA KUTOSHA.. Hebu jaribu kucheza Game kwenye S4 halafu liweke kwenye p3 yako uone tofauti..
kejof2Umeliwa tecno haina hadhi hata ya kuuzwa laki 3
RGforeverAhsante mkuu, usidhani nina inferiority katika hili. Hukufuatilia mtiririko awali unadhani watu wengi wananunua simu kwa ajili ya Games?
Jamii forum idumu milele na wewe jamaa hudumu kadili ya mapenzi ya Mungu.
mimi sio mtaalamu wa simu ata kidogo na natumia nokia-m-horze mchina mtupu ila ninampango wa kuingia kwenye huo mkumbo wa android na smart4n.
Tatizo la wachangiaji wengi wana copy spec.za cm kutoka kwenye Net,gaidbook ama mabox ya simu wakati hata kuzitumia hawajawai au pengine wametumia ila sio wachunguzi rejea mfano wako
:Maaana Tecno Wanakuwekea Camera ya 13MP ila. Inapiga picha za 5MP. watu wanaleta story with no evidence.
Unazungumzia sales za china !
Ni sawa na bongo TECNO anavyokimbiza kuliko samsung, lakini hatuwezi kusema Samsung sio bora.
Xiaomi anakimbiza china kwasabu anatengeneza baadhi ya simu kwa MediaTek nakuziuza bei rahisi, ndomana anakimbiza sana kuliko samsung.
Lakini angalia world wide sales kama Xiaomi atakaa ata kwenye top 5.
Baadhi ya simu za Xiaomi zimekua targeted kwa watu masikini, kama wanavyofanya Tecno Africa.
Camera
Processor
Ram
Design
Maaana Tecno Wanakuwekea Camera ya 13MP ila. Inapiga picha za 5MP. Upo
Watu wengine bwana, mimi nimesema tuache porojo tutoe vitu kwa ushahidi na sio kukisia na kusema tu.
mkuu snipa nakuheshimu sana, Lakini hawa jamaa Antutu nawaheshimu zaidi.
Ni kichekesho kwa mwenye vits kujiringanisha na mwenye Range Rover kwa kisingizio kuwa inamfikisha anakokwenda, ina A.C, ina mziki, ina seat, inakula mafuta, ina matairi manne, ina engine na inaitwa gari.
Tecno ni smart phone kama ilivyo s4 lakini huwezi iringanisha na s4 japo zote zina run android, when it comes to technical and performance kwa wapenda kufanya real mult tasking and heavy task as well as durability utaona utofauti..
lakini kama mfuko wako mdogo go for tecno itakithi mahitaji.