Ubingwa wa Kucheka

Mbona viatu vina vumbi utafikiri walikuiwa wanacheza twist uwanja wa fisi, au siku hizi madereva wao wa gari za kijani hawaoshi magari mpaka yanafikia kuwa na mavumbi kiasi hicho?
 
Mkubwa wa Nchi (alie kushoto kabisa katika picha,anaonekana miwani na mkono wenye dungu) akitoa kichekesho lazima wacheke tuu wapinde wasipende!
 
Duh sasa hapo mbona hao jamaa wawili wanacheka sana wakati wengine wako kimya. Ukubwa wa kicheko ungewashtua wengine. Hapo kuna incongruency wakuu.
 
Viatu vyao vina vumbi. Au wametoka kutambika!
 
Wamenong'onezana nn? Mbona wanacheka wao tu?
au 'NEPI' kaonesha nguo yake ile ndogo kuliko zote?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…