Ubinafsi ndio unaowafanya watu wanaoana

Ubinafsi ndio unaowafanya watu wanaoana

Kila mmoja wetu ameshawahi kusiki kuwa mtu fulani anamuoa/olea na mwingine kwa madai kuwa wanapendana au anampenda huyo anaeingia nae kwenye ndoa,madai haya yapo na huenda hata wewe unafikiri hivyo hivyo.

Leo nataka nikupe ushahidi kuwa sio kweli kuwa watu wanaoana kwasababu ya kupendana au kupenda bali ni kwasababu ya ubinafsi tu ni vigumu sana kusema kuna watu ambao wanaoana kwasababu wanapendana au mmoja kumpenda mwenzake,hili linatokana na mfumo wa kimaisha tulio nao leo pamoja na wengi kutokujua hata upendo ni kitu gani.

Kupenda kuna maana ya kumkubali mwenzako bila masharti ikiwa ni pamoja na kujitoa kwaajili ya furaha yake na sio furaha yako, sasa tukija kwenye suala la ndoa na mahusiano kwa ujumla wake mara nyingi watu wanaingia kwenye uhusiano na wale ambao wanajisikia raha kuwa nao karibu au kwa kifupi wanahisia chanya nao.

Watu hawa wamejikuta wakisema kwamba wanawapenda wahusika hivyo kufanya jitihada za kuingia ndoani na wahusika na wamekuwa wakitamani hata kufa pale ambapo wanashindwa kuingia kwenye ndoa na wahusika,lakini je kwa tafsiri hiyo hapo juu ni kweli kwamba watu hawa wanaongozwa na upendo kutamani kuingia kwenye ndoa au kuna kitu kingine?

Ukweli mchungu ni kwamba hawaongozwi na upendo bali ubinafsi,nasema hivi kwasababu kinachomuongoza mtu kuingia ndoani ni zile hisia zake yeye kwa mhusika na sio hisia za mhusika kwake yeye, yaani iko hivi, wewe unapokutana na mtu halafu ukajisikia amani na furaha kuwa karibu yake utasema unampenda na utataka uendelee kuwa nae.

Karibu maisha yako yote ili uendelee kujisikia vizuri na sio mwenzako kujisikia vizuri, hapoa wala hutajali mwenzako anajisikiaje kwasababu tu wewe unajisikia vizuri unapokuwa nae utataka akuoe au umuoe,huu ni ubinafsi,yaani unajifikiria wewe tu na unaingia humo kwenye ndoa kwasababu wewe unajisikia vizuri na sio mwenzako

Hata wale ambao wanasema wanapendana,yaani wanakutana watu wawili ambao wote wanajisikia vizuri pale ambapo wanakuwa pamoja,hawa nao wanapoingia kwenye ndoa sio kwasababu wanapendana bali ni kwasababu kila mmoja anajisikia vizuri anapokuwa na mwenzake,hii ina maana kwamba kila mmoja anaongozwa na yeye kujisikia vizuri kwa mwenzake na sio kuongozwa na hisia za mwenzake kwake

Kama kweli tungekuwa tunaomngozwa na upendo basi tungeolewa au kuoa wale ambao wao tu wanajisikia vizuri kuwa na sisi,hii inamaana kwamba tunajitoa kwaajili ya furaha za wengine kama maana ya kupenda ilivyo,yaani uende kuoa au kumuoa yule ambae wewe huna hisia chanya nae lakini yeye anazo hisia chanya kwako hapo utakuwa umempenda na kuongozwa na upendo kuingia kwenye ndoa.

Ukweli huu mchungu ni mgumu kukubaliwa na wengi, kwasababu tumeaminishwa kuwa upendo ni wa aina fulani wakati sio kweli. Je wewe ni mmoja wa wale wanaoongozwa na ubinafsi au hapana?
Siku zote nimekujua kama mtu mwenye akili bali sikufikiri ungeweza pia kuwa karibu na miungu kiasi hiki; huu ndio ukweli wa maisha na ndoa hazidumu kwa sababu ya ubinafsi. Binadamu hataki kukubali kwamba ili upate ni lazima utoe kwanza, bali hutaka kupokea pasi na kutoa; yani wavune wasichopanda. Upendo ni uwekezaji, wewe mtumikie bila kujali unapokea nini na hatimae mbegu yako ya uwekezaji itazaa matunda. Wazee wa kale waliozesha vijana wao wakiwa hata hawajuani na ndoa zilidumu kwa ajili ya siri hii. Yule mwovu alipotamalaki katika maisha haya ndipo tulipopokea ile nakala feki ya upendo wa siku hizi ambao ni ubinafsi
 
Kila mmoja wetu ameshawahi kusiki kuwa mtu fulani anamuoa/olea na mwingine kwa madai kuwa wanapendana au anampenda huyo anaeingia nae kwenye ndoa,madai haya yapo na huenda hata wewe unafikiri hivyo hivyo.

Leo nataka nikupe ushahidi kuwa sio kweli kuwa watu wanaoana kwasababu ya kupendana au kupenda bali ni kwasababu ya ubinafsi tu ni vigumu sana kusema kuna watu ambao wanaoana kwasababu wanapendana au mmoja kumpenda mwenzake,hili linatokana na mfumo wa kimaisha tulio nao leo pamoja na wengi kutokujua hata upendo ni kitu gani.

Kupenda kuna maana ya kumkubali mwenzako bila masharti ikiwa ni pamoja na kujitoa kwaajili ya furaha yake na sio furaha yako, sasa tukija kwenye suala la ndoa na mahusiano kwa ujumla wake mara nyingi watu wanaingia kwenye uhusiano na wale ambao wanajisikia raha kuwa nao karibu au kwa kifupi wanahisia chanya nao.

Watu hawa wamejikuta wakisema kwamba wanawapenda wahusika hivyo kufanya jitihada za kuingia ndoani na wahusika na wamekuwa wakitamani hata kufa pale ambapo wanashindwa kuingia kwenye ndoa na wahusika,lakini je kwa tafsiri hiyo hapo juu ni kweli kwamba watu hawa wanaongozwa na upendo kutamani kuingia kwenye ndoa au kuna kitu kingine?

Ukweli mchungu ni kwamba hawaongozwi na upendo bali ubinafsi,nasema hivi kwasababu kinachomuongoza mtu kuingia ndoani ni zile hisia zake yeye kwa mhusika na sio hisia za mhusika kwake yeye, yaani iko hivi, wewe unapokutana na mtu halafu ukajisikia amani na furaha kuwa karibu yake utasema unampenda na utataka uendelee kuwa nae.

Karibu maisha yako yote ili uendelee kujisikia vizuri na sio mwenzako kujisikia vizuri, hapoa wala hutajali mwenzako anajisikiaje kwasababu tu wewe unajisikia vizuri unapokuwa nae utataka akuoe au umuoe,huu ni ubinafsi,yaani unajifikiria wewe tu na unaingia humo kwenye ndoa kwasababu wewe unajisikia vizuri na sio mwenzako

Hata wale ambao wanasema wanapendana,yaani wanakutana watu wawili ambao wote wanajisikia vizuri pale ambapo wanakuwa pamoja,hawa nao wanapoingia kwenye ndoa sio kwasababu wanapendana bali ni kwasababu kila mmoja anajisikia vizuri anapokuwa na mwenzake,hii ina maana kwamba kila mmoja anaongozwa na yeye kujisikia vizuri kwa mwenzake na sio kuongozwa na hisia za mwenzake kwake

Kama kweli tungekuwa tunaomngozwa na upendo basi tungeolewa au kuoa wale ambao wao tu wanajisikia vizuri kuwa na sisi,hii inamaana kwamba tunajitoa kwaajili ya furaha za wengine kama maana ya kupenda ilivyo,yaani uende kuoa au kumuoa yule ambae wewe huna hisia chanya nae lakini yeye anazo hisia chanya kwako hapo utakuwa umempenda na kuongozwa na upendo kuingia kwenye ndoa.

Ukweli huu mchungu ni mgumu kukubaliwa na wengi, kwasababu tumeaminishwa kuwa upendo ni wa aina fulani wakati sio kweli. Je wewe ni mmoja wa wale wanaoongozwa na ubinafsi au hapana?

sijui umekula maharage ya wapi wewe!!!
 
Hakuna upendo kwenye ndoa nyingi za kiafrika, watu wanaoana ili kusaidiana katika maisha, na kutimiziana matamanio ya kimwili basi!
 
Sijakuelewa,
kwahiyo ili watu wapendane kusiwe na hisia nzuri kwa kila mmoja?
Yani kuoa au kuolewa iwe kama ni 'msaada' wa kumtoa mtu kwenye upweke?

Yani sijaelewa hata. Naona tu umerudia rudia.

Kupenda kuna maana ya kumkubali mwenzako bila masharti ikiwa ni pamoja na kujitoa kwaajili ya furaha yake na sio furaha yako, sasa tukija kwenye suala la ndoa na mahusiano kwa ujumla wake mara nyingi watu wanaingia kwenye uhusiano na wale ambao wanajisikia raha kuwa nao karibu au kwa kifupi wanahisia chanya nao.

Ukweli mchungu ni kwamba hawaongozwi na sio hisia za mhusika kwake yeye, yaani iko hivi, wewe unapokutana na mtu halafu ukajisikia amani na furaha kuwa karibu yake utasema unampenda na utataka uendelee kuwa nae.

Karibu maisha yako yote ili uendelee kujisikia vizuri na sio mwenzako kujisikia vizuri, hapoa wala hutajali mwenzako anajisikiaje kwasababu tu wewe unajisikia vizuri unapokuwa nae utataka akuoe au umuoe,huu ni ubinafsi,yaani unajifikiria wewe tu na unaingia humo kwenye ndoa kwasababu wewe unajisikia vizuri na sio mwenzako.

Sijakuelewa,
kwahiyo ili watu wapendane kusiwe na hisia nzuri kwa kila mmoja?
Yani kuoa au kuolewa iwe kama ni 'msaada' wa kumtoa mtu kwenye upweke?

Yani sijaelewa hata. Naona tu umerudia rudia.
Unajua maana ya kupenda?
 
Kama nikienda kuoa mtu ambaye sina hisia chanya naye ila yeye ana hisia chanya namie kwa mjibu wa maelezo yako kwamba ndo ntakuwa nmempenda, basi yeye atakuwa mbinafsi coz kaamua kuolewa na mtu ambae hana hisia chanya nae. UNAFIKIRI KUTAKUWA NA MAPENZI YA KWELI TENA HAPO?
Nilifikiri kama wewe.
 
maisha yasumbue pesa isumbue ndugu wasumbue majirani wasumbue bado nijilazimishe kuheshimu hisia za anipendae si ntakufa mapema.

waigizaji wengi sikuizi mkweli na muongo hajulikani.
 
There's a very thin line between love and selfishness. Kama umewahi soma kitabu cha Mark Twain ' What is a man' (kama sijachanganya parts of speech ), utakuwa ulipata mwanga
 
Kila mmoja wetu ameshawahi kusiki kuwa mtu fulani anamuoa/olea na mwingine kwa madai kuwa wanapendana au anampenda huyo anaeingia nae kwenye ndoa,madai haya yapo na huenda hata wewe unafikiri hivyo hivyo.

Leo nataka nikupe ushahidi kuwa sio kweli kuwa watu wanaoana kwasababu ya kupendana au kupenda bali ni kwasababu ya ubinafsi tu ni vigumu sana kusema kuna watu ambao wanaoana kwasababu wanapendana au mmoja kumpenda mwenzake,hili linatokana na mfumo wa kimaisha tulio nao leo pamoja na wengi kutokujua hata upendo ni kitu gani.

Kupenda kuna maana ya kumkubali mwenzako bila masharti ikiwa ni pamoja na kujitoa kwaajili ya furaha yake na sio furaha yako, sasa tukija kwenye suala la ndoa na mahusiano kwa ujumla wake mara nyingi watu wanaingia kwenye uhusiano na wale ambao wanajisikia raha kuwa nao karibu au kwa kifupi wanahisia chanya nao.

Watu hawa wamejikuta wakisema kwamba wanawapenda wahusika hivyo kufanya jitihada za kuingia ndoani na wahusika na wamekuwa wakitamani hata kufa pale ambapo wanashindwa kuingia kwenye ndoa na wahusika,lakini je kwa tafsiri hiyo hapo juu ni kweli kwamba watu hawa wanaongozwa na upendo kutamani kuingia kwenye ndoa au kuna kitu kingine?

Ukweli mchungu ni kwamba hawaongozwi na upendo bali ubinafsi,nasema hivi kwasababu kinachomuongoza mtu kuingia ndoani ni zile hisia zake yeye kwa mhusika na sio hisia za mhusika kwake yeye, yaani iko hivi, wewe unapokutana na mtu halafu ukajisikia amani na furaha kuwa karibu yake utasema unampenda na utataka uendelee kuwa nae.

Karibu maisha yako yote ili uendelee kujisikia vizuri na sio mwenzako kujisikia vizuri, hapoa wala hutajali mwenzako anajisikiaje kwasababu tu wewe unajisikia vizuri unapokuwa nae utataka akuoe au umuoe,huu ni ubinafsi,yaani unajifikiria wewe tu na unaingia humo kwenye ndoa kwasababu wewe unajisikia vizuri na sio mwenzako

Hata wale ambao wanasema wanapendana,yaani wanakutana watu wawili ambao wote wanajisikia vizuri pale ambapo wanakuwa pamoja,hawa nao wanapoingia kwenye ndoa sio kwasababu wanapendana bali ni kwasababu kila mmoja anajisikia vizuri anapokuwa na mwenzake,hii ina maana kwamba kila mmoja anaongozwa na yeye kujisikia vizuri kwa mwenzake na sio kuongozwa na hisia za mwenzake kwake

Kama kweli tungekuwa tunaomngozwa na upendo basi tungeolewa au kuoa wale ambao wao tu wanajisikia vizuri kuwa na sisi,hii inamaana kwamba tunajitoa kwaajili ya furaha za wengine kama maana ya kupenda ilivyo,yaani uende kuoa au kumuoa yule ambae wewe huna hisia chanya nae lakini yeye anazo hisia chanya kwako hapo utakuwa umempenda na kuongozwa na upendo kuingia kwenye ndoa.

Ukweli huu mchungu ni mgumu kukubaliwa na wengi, kwasababu tumeaminishwa kuwa upendo ni wa aina fulani wakati sio kweli. Je wewe ni mmoja wa wale wanaoongozwa na ubinafsi au hapana?
Mkuu Eiyer nimekuelewa. Tunashindwa kuutofautisha upendo, tamaa za mwili na Ubinafsi. Kuoa ni Ubinafsi maana unataka awe wako tuu. Kutokana na tamaa za mwili tunaamua kuoa ili nimfaidi Mimi tuu. Ndio maana pale unapohisi kuna mwingine anafaidi bila kuwaza tunaanzisha vurumai hatie kidhuru. Hii ni kiashiria tosha kuwa tumeongozwa ama kutawaliwa na selfishness.

Mfano mzuri Wa Upendo ni toka kwa Mwenyezi Mungu. Bila kujali kama unamfuata ama laa wote ametujalia Pumzi.

Ukilipenda UA kisha ukaling'oa ili ulinuse ama umpelekee mpenzi zawadi ni tamaa sio upendo otherwise kama ua umelipenda liache likue, ulione likinawiri kila siku. Ikibidi limwagilie na kuliwekea mbolea. Litunze na uhai wake. Lipende hata kama sio lako. Huo ndio upendo
 
Sio kweli, mara nyingi tu tunafanya mambo kuwafurahisha wanaotupenda ama tunaowapenda ht km sisi hatufurahii,..
Ndoa is a combination of factors.. Hujui wanawake wengi wanaolewa simply bcz the man proposed,not necessarily cz she's in love??
 
Hakuna upendo kwenye ndoa nyingi za kiafrika, watu wanaoana ili kusaidiana katika maisha, na kutimiziana matamanio ya kimwili basi!
Kama kuna kaukweli hivi!!
 
Kila mmoja wetu ameshawahi kusiki kuwa mtu fulani anamuoa/olea na mwingine kwa madai kuwa wanapendana au anampenda huyo anaeingia nae kwenye ndoa,madai haya yapo na huenda hata wewe unafikiri hivyo hivyo.

Leo nataka nikupe ushahidi kuwa sio kweli kuwa watu wanaoana kwasababu ya kupendana au kupenda bali ni kwasababu ya ubinafsi tu ni vigumu sana kusema kuna watu ambao wanaoana kwasababu wanapendana au mmoja kumpenda mwenzake,hili linatokana na mfumo wa kimaisha tulio nao leo pamoja na wengi kutokujua hata upendo ni kitu gani.

Kupenda kuna maana ya kumkubali mwenzako bila masharti ikiwa ni pamoja na kujitoa kwaajili ya furaha yake na sio furaha yako, sasa tukija kwenye suala la ndoa na mahusiano kwa ujumla wake mara nyingi watu wanaingia kwenye uhusiano na wale ambao wanajisikia raha kuwa nao karibu au kwa kifupi wanahisia chanya nao.

Watu hawa wamejikuta wakisema kwamba wanawapenda wahusika hivyo kufanya jitihada za kuingia ndoani na wahusika na wamekuwa wakitamani hata kufa pale ambapo wanashindwa kuingia kwenye ndoa na wahusika,lakini je kwa tafsiri hiyo hapo juu ni kweli kwamba watu hawa wanaongozwa na upendo kutamani kuingia kwenye ndoa au kuna kitu kingine?

Ukweli mchungu ni kwamba hawaongozwi na upendo bali ubinafsi,nasema hivi kwasababu kinachomuongoza mtu kuingia ndoani ni zile hisia zake yeye kwa mhusika na sio hisia za mhusika kwake yeye, yaani iko hivi, wewe unapokutana na mtu halafu ukajisikia amani na furaha kuwa karibu yake utasema unampenda na utataka uendelee kuwa nae.

Karibu maisha yako yote ili uendelee kujisikia vizuri na sio mwenzako kujisikia vizuri, hapoa wala hutajali mwenzako anajisikiaje kwasababu tu wewe unajisikia vizuri unapokuwa nae utataka akuoe au umuoe,huu ni ubinafsi,yaani unajifikiria wewe tu na unaingia humo kwenye ndoa kwasababu wewe unajisikia vizuri na sio mwenzako

Hata wale ambao wanasema wanapendana,yaani wanakutana watu wawili ambao wote wanajisikia vizuri pale ambapo wanakuwa pamoja,hawa nao wanapoingia kwenye ndoa sio kwasababu wanapendana bali ni kwasababu kila mmoja anajisikia vizuri anapokuwa na mwenzake,hii ina maana kwamba kila mmoja anaongozwa na yeye kujisikia vizuri kwa mwenzake na sio kuongozwa na hisia za mwenzake kwake

Kama kweli tungekuwa tunaomngozwa na upendo basi tungeolewa au kuoa wale ambao wao tu wanajisikia vizuri kuwa na sisi,hii inamaana kwamba tunajitoa kwaajili ya furaha za wengine kama maana ya kupenda ilivyo,yaani uende kuoa au kumuoa yule ambae wewe huna hisia chanya nae lakini yeye anazo hisia chanya kwako hapo utakuwa umempenda na kuongozwa na upendo kuingia kwenye ndoa.

Ukweli huu mchungu ni mgumu kukubaliwa na wengi, kwasababu tumeaminishwa kuwa upendo ni wa aina fulani wakati sio kweli. Je wewe ni mmoja wa wale wanaoongozwa na ubinafsi au hapana?

kinda make sense, but tunafanya hivyo when the feeling is mutual, sasa hapo tutaeza uita ubinafsi wetu UPENDO, but akiwa mmoja tuu ndyo ako + na mwingine ni -, maan ni shida kwa wote, hata mwenye kuacha ubinafsi wake ataumia. so at the end of the day.... binadamu tunaita self interest zetu love towards the other, infact its not even selfish, coz ukimpenda mtu utafanya yale yanayo mfurahisha of which makes you feel good or it satisfies your personal desires by fulfilling ur partner`s.
 
Back
Top Bottom