Uber Tanzania: Support thread

Uber Tanzania: Support thread

Ukilaunch app yako juu kabisa kuna kibox kimeandikwa pic up a location, hapo andika eneo ulilopo, Google map itakusaidia kutambua eneo lako wakati unaandika, then bofya chini button nyeusi imeandikwa REQUEST UBERX
Verification code zinapatikanaje, mbona nimeingiza number zangu za simu lkn hatua inayofuata ndio hizo code, lkn situmiwi?, au inakuwaje hapo mkuu?
 
Back
Top Bottom