Leo na jana nimelipa 1,000/-Umewahi kuchajiwa 1000 uber mkuu??...Mimi natumiaga Uber but sijawahi kuona hiko kitu tena huwa nakuwa na trip fupi fupi nying...Nakumbuka kiasi kidogo nilicho wahi kulipa kwa Uber ni 6500 kutoka Pale Azam Tv tabat ToT cjui ndio kituo kinaitwa hivyo mpaka Tabat Kimanga.
Mimi nashangaa tangu January ni mwendo wa 5000 maximum....nadhani ni ofa...muda wa kutoa hela hawaaminiLeo na jana nimelipa 1,000/-
mkuu kutoka wp mpk wp hyo?? mana navyojua mm kiwango chao cha chini ni buku 3 unless uwe na promotionLeo na jana nimelipa 1,000/-
Wenyewe hawaamini piaSikuamini nilipoambiwa nauli 1000/-
Uber wana punguzo kwa sasa.Leo na jana nimelipa 1,000/-