Uber inaitajika haraka muda huu

Uber inaitajika haraka muda huu

mama mtarajiwa

JF-Expert Member
Joined
Nov 29, 2016
Posts
290
Reaction score
449
nipo tegeta naitaji kwenda posta samora tra .kama kuna mtu ana uber tax naitaji huduma now
weka namba nikupigie
 
Majanga kweli Bongo ni Mengi, maelezo yako yana mkanganyiko,unaitaji uber mwenye No akupe uipige,alafu tena unadai huna simu umeibiwa , sasa unampigia kwa namna gani na je hapo ulipo kama una Access mpaka umeweza ingia jamii forum inamaanisha una simu nzuri tu,sasa mimi najiuliza maswali mengi hata jibu sipati nini dhumuni lako
 
Si bora uchukue taxi tu kama hauna smartphone yenye application ya uber

Ova
 
Back
Top Bottom