Siasa zozote zinapotolewa na muislamu huwa ni za kihuni. Mmarekani ndo aliyewaamuru kuuwa wenzenu hovyo dunia nzima? Marekani ndo aliyewaamuru kupiga mawe? Marekani ndo aliyekuja tz na kuchoma makanisa baada ya mizaha ya WATOTO kisha mtoto wa kikristo akakojolea kuran? Mnaamini muislamu akikokolea hata bibilia kumi kuna mkristo ataenda kuchoma msikiti? Zungukeni sana na kutafuta mbuzi wa kafara lkn dini yenu na mafundisho yenu yote ndio ya kihuni. Tafadhari msipende kutupotezea muda wkt nyie mnakaa vijiweni mkitegemea majini yawaletee .......ovyoooo
Waislam wana ugomvi gani na USA?
............................. nguzo kuu ya uislamu ni unafiki na ulalamishi, wenyewe wanaita TAQIYYAH a special type of lying for the sake of islam.
kama upeo wako mdogo ivo hilo jina hulitendei haki.
wanaodai marekani muasisi wa ugaidi ni wamarekani hao hao.zipo document za kujaza semi kama unataka nikuwekee hapa
we ulijifunzia wapi hicho usemacho au ndo kukurupuka kuliopitiliza na kukaririsha uongo ambao hata mtoto mdogo hawezi kukubali.
Uislamu unaamini kama MNAFIKI ni adui namba moja wa jamii,sasa we mbona unaongea uongo ambao pia ktk zile alama za mtu mnafiki moja wako ni UONGO kama huo uliosema,kama hutaki kukubali sawa tu kwani haiwezekani kutumia pumzi ya mwenzako kuishi.
Acha kuzungumza usichokijua kuhusu uislamu.
Uislamu unakwambia kuwa alama za mtu mnafki ni tatu na mnafiki ni adui wa mwenyezi mungu.
Utakaririshwa mpaka basi,hebu rudi darasani ukajifunze ndipo uje kuongea.
Mchina bado ana kazi ndefu kumfikia mmarekani... wanacho sema kwenye vyombo vya habari ni kama sisi tz tunavo ambiwa uchumi umekuwa wakati watu wetu masikini kupindukia.... china bado mtoto sana kwa us. Tembea ujionee mkuuMarekani kwisha kazi. Sasa mbabe ni mchina.
mbona wakristo hamjaandamana then?wewe ni mmarekani? mbona waislamu wa tanzania, kenya, somalia, nigeria etc hawajaandamana kupinga mauaji yanayofanywa na waislamu wa al shaabab, al qaeda, boko haramu? Wanachinja na kulipua watu wasio na hatia hadi misikitini kwa jina la Allah huku wakiapa allah akbaru! kama wanatumwa na marekani mbona hamukemei? unaniambia nyaraka za nini wakati tunawashuhudia hata huku mkichoma makanisa! mnatumwa na usa? acheni unafiki wenu!
kama unakiri hivyo kumbe waislamu ni adui wa mwenyezi mungu na jamii ndiyo maana hamuoni shida kichinja wenzenu kama kuku huku mkiapa allah akbar!!
Waislamu kazi kutafuta mchawi wakati mchawi ni kitabu chao wanacho kiita kitukufu na mtume wao alie fikilia kibinadamu zaidi kuruhusu Jihadi.... mtume aliruhusu Jihadi na Jihad ndo inaleta shida duniani..... Boko haram, al shabab hata hapa Tz mchungaji kauwawa eti kisa wanataka wachinje wao.... mbona nguruwe hamtaki kusaidia kuchinja ... zanzibar mapadri wanamwagiwa tindikali na kupigwa risasi kisa waislam washamba ambao wametafsiri Jihad on their own way na mtume alikufa bila kujua Jihad italeta shida na kuacha ameibariki....
wewe ni mmarekani? mbona waislamu wa tanzania, kenya, somalia, nigeria etc hawajaandamana kupinga mauaji yanayofanywa na waislamu wa al shaabab, al qaeda, boko haramu? Wanachinja na kulipua watu wasio na hatia hadi misikitini kwa jina la Allah huku wakiapa allah akbaru! kama wanatumwa na marekani mbona hamukemei? unaniambia nyaraka za nini wakati tunawashuhudia hata huku mkichoma makanisa! mnatumwa na usa? acheni unafiki wenu!
Mkuu hakuna kitu kibaya kama kujitambua ur weakness and strength. .... ukiendelea kuficha weaknesses kwenye taifa lenye mchanganyiko kama letu ni shida kubwa hasa inapo tokea mleta mada anatafuta justifications za kiongo....Ulichoandika hakifanani na Tanzania kwanza. Hii mijadala ya kidini na ukosoaji wa imani za watu wengine unaitafuna Tanzania. Hizi post za namna hii ni za kupiga ban