Shkamoooni wakubwa. Hiii inakuwaje lakini. Unakuta umetoka katika familia ya kimaskini mama anahangaika anapika maandazi chapati anauza mnapata rizki unakula na ndugizo.baba kazi ya kuuunga unga hadi huruma hela hamna. Baba anaamua kuondoka kuhama nchi nyengine kutafuta maisha mama anahangaika peke yake na watoto na kuwalisha pamoja na kuvisha bila ya msaada wowote hhadi mnakua hamjakulia baba sana. Sasa mshakua wakubwa baba anarudi na mafanikio na kukuchukueni aliko. Anarudi anajenga nyumba nzuriii anakuachieni nyie mnataabika nchi ngeni. Ekesha anatafuta mwanamke mwengine katika jumba la fahari. Hiii kweli haki mama ako kapata tabu raha anakula mwengine. Aaafu sasa nimekuwa nawachukia wanaume sijui kwa nini utakuta mama alia hadi huruma.hiii imemtokea jirani yetu.