Ubaya wa ndoa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ubaya wa ndoa

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by SANGA ONE, Aug 8, 2012.

 1. SANGA ONE

  SANGA ONE Senior Member

  #1
  Aug 8, 2012
  Joined: Jul 7, 2012
  Messages: 121
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Habari za uhakika kutoka Irembula mama na mtoto wake wa kike wachangia kumpiga kichwa cha nyumba yani baba. na kuvuta nyeti bintie bira aibunaye kavuta mzigo wa ndingi sasa ndingi mahututi hospitari,habari kutoka ebony fm iringa.
   
 2. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #2
  Aug 8, 2012
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,475
  Likes Received: 4,134
  Trophy Points: 280
  Kisa nini?
   
 3. Bilionea Asigwa

  Bilionea Asigwa JF-Expert Member

  #3
  Aug 8, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 12,629
  Likes Received: 9,847
  Trophy Points: 280
  yawezekana wamestukia mchezo DINGI ALIKUA ANAKULA WOTE........
   
 4. Little Angel

  Little Angel JF-Expert Member

  #4
  Aug 8, 2012
  Joined: Aug 21, 2011
  Messages: 1,218
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  sababu ya hilo ni nini? so sad.
   
 5. Clarity

  Clarity JF-Expert Member

  #5
  Aug 9, 2012
  Joined: Jul 6, 2010
  Messages: 811
  Likes Received: 329
  Trophy Points: 80
  title haihusiani na ulichoandika sijaona ubaya wa ndoa hapo
   
 6. Wamunzengo

  Wamunzengo JF-Expert Member

  #6
  Aug 9, 2012
  Joined: Aug 2, 2012
  Messages: 810
  Likes Received: 180
  Trophy Points: 60
  Mkuu huu wala sio ubaya wa ndoa. nadhani huna ndoa kwa hiyo unajaribu ku-imagine vitu. haya ni matokeo ya mmomonyoko wa maadili katika jamii. hapo wote hawana maadili, baba, mama na binti yao. tabia zao wote chafu hawa na hazifai katika jamii iliyo staarabika.
   
 7. T

  The Infamous JF-Expert Member

  #7
  Aug 9, 2012
  Joined: May 11, 2009
  Messages: 719
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  sasa ndoa imeingia vipi hapo,
   
Loading...