Ubaya na Uzuri wa gari aina ya TOYOTA ALLEX

Mtanzanyika

JF-Expert Member
Feb 12, 2015
370
425
Habari Wakuu...... Niko mbioni kuagiza Toyota Allex ila kabla ya kufanya maamuzi hayo ningependa kupata maoni ya wataalamu juu ya uzuri na ubaya wa hiyo gari.... Kuhusu labda ulaji wa mafuta, uimara wa body na comfortability yake kwenye uendeshaji n.k.... Kwa sasa natumia Toyota IST ila nataka kumuachia wife ili mimi niagize hiyo Toyota Allex.... Nakaribisha mawazo yenu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu nakushauri Chukua Runex ya engine 2NZ yaani ya CC 1800 utaenjoy sana ,very powerfully na comfotability with high speed ,gia box yake inameno kwa juu sf sn

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Allex jiandae Sana kutengeneza AC, mfumo wake wa AC unazingua sana, utakuwa mteja wa condenser na compressor otherwise uamue kutembea na kitaulo. Lakini otherwise ni gari nzuri sana, mimi imenilinda mjini hapa mwaka wa sita sasa na kila siku kanakula wastani wa 70km. Piga service safi alafu uwe na fundi mmoja unayemuamini.
 
Back
Top Bottom