Blessed Keinerugaba
JF-Expert Member
- Nov 16, 2011
- 4,789
- 4,830
Mkuu ungemleta tu, huwa ni wazuri aisee si wakina Yna wa The PromisePhilipine wapo poa sana isee tena kuna msikini zaidi yetu nilikuwa mall moja mji unaitwa makat bi dada aliomba sana nirudi nae bongo aje afanye hata kazi za ndani lkn nilpomwangalia nikajua najitafutia mke mwenza lkn very polite yani mwaaa.
Kazakhstan niliwapenda sana ni wakalimu kuliko nilivyodhaniaWrite your reply...
mji Mkuu wake unaitwa ulan Bato
nenda ubalozi wa China au Vietnam kwa maelezo zAidi
nilikuwa Asia miez miwili ilyopita Melbourne Australia
pia astana Kazakhstan tulilala baada ya hali ya hewa Kuwa mbaya wakAti wa kurudi kutoka Australia
cc
NIYOMBARE
britanicca
Nepal hapo hakuna life nzuri, na hakuna kazi zaid ya trekkingMongolia pagumu sna.jaribu tour nzuri taiwan au hata nepal
Leomimi huyo dada alieko hapo kwenye Avatar yako unamjua?Tafadhali naomba kujuzwa kama kuna uwakilishi wa MONGOLIA hapa nchini kwetu mwenye kuujua anijuze na location please.
ndio Mkuu wana spirt ya maendeleoKazakhstan niliwapenda sana ni wakalimu kuliko nilivyodhania
Turkish airlines vipi wameshabadili huduma zao?ndio Mkuu wana spirt ya maendeleo
nilikaa cku moja tu pale hali ya hewa haikuwa rafiki ikabidi pipa letu LA Turkish airlines litue kwa emergency
Asia hali ya anga inasumbua sana cjui kwanini nilijuta kwenda Australia
vi Nepal afya mgogoro sana vina njaa KaliNepal hapo hakuna life nzuri, na hakuna kazi zaid ya trekking
Alafu nawaogopa sana maana ukienda sana nje ya mji nadhani wanaweza kukudhuru, japo nimekaa Kathmandu week kadhaa lakin Sikwenda deep sana, ila pale tetemeko la ardhi muda wowotevi Nepal afya mgogoro sana vina njaa Kali
wengi ni wabudha niliwaona pale manila wamejaa shazi
wapo vizuri nimewahama etihad mda sanaTurkish airlines vipi wameshabadili huduma zao?
Mi ndege ambayo sitapanda ni Ethiopia hata nipewe ticket freewapo vizuri nimewahama etihad mda sana
kwa sasa Turkish airline n kampuni ya NNE duniani kwa ubora
mungu akijalia mwakani tutaenda Rio brazili
tutaenda nayo kwasasa Turkish airlines wameteka soko LA ulaya hasa nchi za Spain ,German, sweden , Belgium,Italy
pia marekAn Turkish airlines imeteka vilivyo IPO ktk miji 25
kwasasa wana route mpya from German Santiago via Rio
German Brasilia,Ankara neywork via Toronto
siwapend KBSAlafu nawaogopa sana maana ukienda sana nje ya mji nadhani wanaweza kukudhuru, japo nimekaa Kathmandu week kadhaa lakin Sikwenda deep sana, ila pale tetemeko la ardhi muda wowote
Comrade muwe mnaanzisha threads za hizo Nchi za ajabu ajabu.. Ndio Maarifa yenyewe, humu ndani Kuna uzi unazungumzia ijue Nchi ya Cape Verde, Brunei, Korea kaskazin.. Nksiwapend KBS
vijambz jambz vimekaa kishida shida
umenena,ukipanda Ethiopia airlines ni kama basiMi ndege ambayo sitapanda ni Ethiopia hata nipewe ticket free