The hammer
JF-Expert Member
- May 17, 2011
- 2,409
- 1,812
Emenibidi nicheke kidogo...vip Asian country kama Thailand,Philipine na Indonesia wao ubaguzi hakunaSi huko mkuu ndiko ambako wananchi vijijini hawajawahi kuona ngozi nyeusi kabisa? Yaana mpaka vitoto huwa vinakimbia kujificha vikiona ngozi nyeusi!! Nakumbuka awamu moja tulienda Cambodia hayo ndo yalitukuta!!
Emenibidi nicheke kidogo...vip Asian country kama Thailand,Philipine na Indonesia wao ubaguzi hakuna
Huko ni kujidharau kwa kufikiri kuwa watu kutoka marekani ndio bora sana. Ubaguzi upo kote duniani hata huko Marekani unakosema wewe, tunachofanya ni kukabiliana nao, huwezi kuukwepa ubaguzi hasa uliwa mweusi.Ukifika huko useme umetoka Marekani,ukisema umetoka Afrika utabaguliwa zaidi ya mbwa.
Hongera sana kwa kufanikiwa kuizunguka Dunia,Philipine wapo poa sana isee tena kuna msikini zaidi yetu nilikuwa mall moja mji unaitwa makat bi dada aliomba sana nirudi nae bongo aje afanye hata kazi za ndani lkn nilpomwangalia nikajua najitafutia mke mwenza lkn very polite yani mwaaa.
Tafadhali naomba kujuzwa kama kuna uwakilishi wa MONGOLIA hapa nchini kwetu mwenye kuujua anijuze na location please.
Hakuna ubalozi wa Mongolia hapa nchini. Mimi nilishafika Mongolia naweza kukusaidia baadhi ya maswali.Tafadhali naomba kujuzwa kama kuna uwakilishi wa MONGOLIA hapa nchini kwetu mwenye kuujua anijuze na location please.
Mongolia iko bara gani na sarafu yao inaitwaje?Hakuna ubalozi wa Mongolia hapa nchini. Mimi nilishafika Mongolia naweza kukusaidia baadhi ya maswali.
Wanahisi ni tumbili labdaSi huko mkuu ndiko ambako wananchi vijijini hawajawahi kuona ngozi nyeusi kabisa? Yaana mpaka vitoto huwa vinakimbia kujificha vikiona ngozi nyeusi!! Nakumbuka awamu moja tulienda Cambodia hayo ndo yalitukuta!!
Ukifika huko tafuta fursa, ushirikishe na Watz wengineWala siendi kuishi just for tour kwa iyo mimi ni mtanzania na watatjua hivyo mpaka ntaporudi
Ulikwenda Mongolia? Mrejesho tafadhari.Tafadhali naomba kujuzwa kama kuna uwakilishi wa MONGOLIA hapa nchini kwetu mwenye kuujua anijuze na location please.
Tupe mrejesho.Daaah
Iko Asia ni nchi inayopakana Urusi upande wa kaskazini na China upande wa kusini.Mongolia iko bara gani na sarafu yao inaitwaje?
Na sarafu yao inaitwaje?Iko Asia ni nchi inayopakana Urusi upande wa kaskazini na China upande wa kusini.
Inaitwa togrog thamani yake iko sawa tu na Tsh ambapo kwa mwaka 2016 USD 1 ilikuwa inabadilishwa kwa Togrog 2010.Na sarafu yao inaitwaje?