Ubalozi wa Azberjan

Ubalozi wa Azberjan

Upo Kariakoo Jirani na Mbezi beach pale Kwenye kona kama Unaenda Ubungo.
 
Wapo Ethiopia na South Africa. Wa Ethiopia hawajibu simu wala email..Kazi kwako.
 
Hakuna nchi inayoitwa jina hilo duniani
Sasa huo ubalozi unatoka wapi?
 
Upo Nairobi, Kenya nenda kachukue Visa huko Azerbaijan embassy..
 
Back
Top Bottom