Ubaguzi wazidi kuiangamiza CHADEMA

Ni mfupi wa kumbukumbu, tutakukumbusha.
Ritz tafadhali mkumbushe huyu kijana Nasari alisema nini.
FaizaFoxy,

Mpe hii....
 
Last edited by a moderator:
Ritz kanambia nikupe hii:
 
Last edited by a moderator:
"Chama kilichofilisika kisera husungumzia udini na ukabila; ukiona chama kinazungumzia udini au ukabila..... Ujue kwisha kazi!" - JK Nyerere
Faiza unataka tuamini hapo ndipo mlipofika wenzetu CCM? Poleni!

Jikumbushe:
 
chadema hakihitaji msaada wa chama chochote ili kuongoza wananchi!TUNAJUA WANANCHI WANATUAMINI NA TUTASHINDA BILA KUSHIRIKIANA NA MTU..SIASA ZA KUSHINDANA NA VYAMA VIGEUGEU KAMWE HAIPO..TUNAJIAMINI NA TUTAFANIKIWA..ALUTHA CINT NUA...
 
Last edited by a moderator:
Hivi mnapotaka chadema ishirikiane na vyama visivyoeleweka! Kiliandikishwa kama chadema na kitasimama kama chadema full stop!Msituletee UCHURO HAPA.
 
NI HERI KWENDA PEKEE YAKO KULIKO RAFIKI MNAFIKI, MADIWANI WATATIMIA TU 2015, hapo ndo ukombozi wa kweli utatokea sio ukombozi wa kuungana na mamluki, VIVA CDM VIVA
 
Chadema kina rasilimali watu wala hakihitaji msaada wa vyama vingine...chama chenye watu hakihitaji msaada
 

Attachments

  • mbowe+na+peoples+power+2(01).jpg
    58.5 KB · Views: 46
  • chadema.jpg
    20.3 KB · Views: 44
  • chadefull.jpg
    50.6 KB · Views: 45
  • chademaaaa.jpg
    13 KB · Views: 84
  • chademo.jpg
    36.8 KB · Views: 45
sikuungi mkono Mzizi Mkavu! si lazima vyama viungane ikiwa kuna utofauti wa kisera, kiitkadi, kimaono, kidira, kiorganization, na kiutendaji,

hata hivyo hivi vyama unavyotaka viungane na CDM si unajua tayari vimeishaolewa na bwana Mkubwa CCM???, au inawezekana mwanamke akaolewa na waume wawili kwa wakati mmoja, kama sio uzinzi??

CDM hatutaki uzinzi wa kisiasa wachaCUF na NCCR waendelee kuzini na CCM
 
Juzi John cheyo aliunga mkono bajeti mbovu ya ccm leo mpuuzi anakuja hapa kutaka chadema waungane nae? Ni upuuzi huo..
 
Hivi unaweza kushauri eti cuf washirikiane na cdm? Wakati wameungana na ccm? Ache porojo za kipumbavu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…