Range rover
Senior Member
- Nov 22, 2016
- 186
- 195
Wadau kwa ubaguzi niliokutana nao kipindi cha siku 3 nilipangwa kufanya kazi zenji kwa kweli ni hatari.
Kwakweli tungelipenda utoe details zaidi, uzi wako hauna maelezo ya kutosha Na tungependa tujue Ni nini hasa kilichotokea.Wadau kwa ubaguzi niliokutana nao kipindi cha siku 3 nilipangwa kufanya kazi zenji kwa kweli ni hatari.
Yaani kama wewe sio mzanzibari mwenzao hawakupi ushirikiano zaidi ya kukufitini ili uharibikiwe uondoke au uonekane mbovu na hujui kitu.Nyoosha maelezo
We kweli urojo ndio maana unajiita jambawaziRudi kwenu yakhe waleta uvivu hapa halijui kitu kazi uvivu tu walala tuuuu mezaniiii tuachie Zanzibari yetu yakhee
Salna 5 Brothers eh?Unalia au unacheka...
Ufitina ni mbaya sana tena unasababisha mengi watu wanakosa kuelewana sababu hiyo fitina....
Fiti fiti fitina ubaya wa nini fitina