Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 10,884
- 18,826
Huu ni ubaguzi wa rangi tunaoufanya wenyewe kwenye subconcious mind zetu. Tuamke, tusirudie tena. Watz wengi ni kama Wasira au Martin Kadinda.
Achana na wachezaji. Nazungumzia mamodel wa jezi.Yusuph Athmani wa Yanga kwenye third kit ni Mweupe ?
Pape othman sakho wa Simba na John Bocco Ni weupe wale ?
Ndiyo ninachozungumza. Huu upo kwenye akili. Kama hutumii akili huwezi kuuonaTuliza kijambio,,ubaguzi unaanzia kwenye akili yako kabla ya Domo kubwabwaja utopolo.