Hao wooote uliowataja ni pandikizi wa CCM ambao walikuwa hawapo kwa ajiri ya ukombozi wa TAIFA HILI bali walipewa kazi maalumu na CCM, ila ishu imejulikana mapema mno kabla ya mission yao kukamilika.Wachaga ni watu wenye msimamo thabiti huwa siyo watu wa kulaghaiwa kilahisi kama the least.Ameona wanoshughulikiwa na kushikishwa adabu ni watu ambao si wachagga na hususan wa kanda ya ziwa vile:
- Amani Kabouru,
- Chacha Wangwe,
- Zitto Kabwe,
- Samson Mwigamba,
- Dr. Kitila Mkumbo,
- John Shibuda,
- Mkosamali,
- Shitalamba
- Kafulila,
- Machege nk.
- Mtela Mwampamba
- Juliana Shonza
Lazima ajiulize kuna nini hapo?