Eng. Y. Bihagaze
JF-Expert Member
- Sep 8, 2011
- 1,487
- 914
naomba kujua kama mtu asipofaulu vizuri masomo yake ya combination , ila akapata "a" ya dini anaweza kwenda chuo kikukuu kwa mgongo wa dini?
waslam ni watu wanaoishi kwa hisia tuu. kila kitu wanaona wao wanaonewa. hawana tofauti wa walemavu. kosa linaweza kutokea lakini, sii lazima kwa hila kwa sababu yupo mkristo.wakriso nao wanandamane kupinga hila za waislamu dhidi ya wakristo. Sii vema kumshutumu Dr. Ndalichako kwa msingi ya udini. Nchi haina dini. Hiyo mitihani ya dini mnapeleka necta kufanya nini. sii mmalizene huko mpeane A za kiarabu, kama chuo cheni cha morogoro
Sijui mkimaliza hili mtahamia wapi au ndo mtaanza kujilipua wenyewe??
Nachukua fursa hii kuwahabarisha wana wa adamu hususani wakristo kuwa yaliyobainika NECTA kupitia matokeo ya somo la IslamicKnowledge kwa kidato cha sita ni dalili tosha kuwa yaliyodaiwa na waislam kwa muda mrefu ni sahihi kabisa. Kuna dhuluma ya kidini. Iwapo tunashawishika kukubali kuwa kikokoteo (calculator) ya kawaida inatoa majibu tofauti na ile ya kompyuta, basi hatuna madaktari isipokuwa ni feki. Dr. Ndalichako (NECTA) na Kawambwa (WyEMU) wanaoona kilichosabbaisha hayo ni matumizi ya vifaa hivyo viwili, je kipi ni sahihi kutumika? Iweje mpaka leo kwa idadi kubwa ya wanafunzi tutumie calculator kujumulisha alama za wanafunzi ilihali excel ipo kwenye kompyuta kurahisisha hayo.
Umefika wakati tuacha kudaganya mchana kweupe kana kwamba hakuna watu wanaojua matumizi ya vifaa hivyo. Ulimwengu wa JK Nyerere umepita wa kudanganya wengine.
Ikiwa kweli NECTA imegundua makosa kwenye somo hilo kwa nini haikutamka kuomba radhi na kuujulisha umma kuhusu dosari hiyo mpaka wasubiri waislam watamke kuandamana?
Nchi hii ni yetu sote, tunatakiwa tuishi kwa wema kabisa, lkn hali hii ikiendelea uvumilivu utawashinda watu na kuanza kutafuta mchawi, Hebu acheni, tendeni haki na matokeo yake ni amani sahihi.
Ili liwe fundisho, mengine ya dhuluma yanayofanyika yaachwe ili kujenga jamii yenye ustawi sawa ambapo kila mwenye kujitahidi ataona manufaa yake, na si vinginevyo:angry::angry::clap2:
naomba kujua kama mtu asipofaulu vizuri masomo yake ya combination , ila akapata "a" ya dini anaweza kwenda chuo kikukuu kwa mgongo wa dini?
umefungwa na mifumo ya tcu????tembelea mitandao ya vyuo mbalimbali hapa duniani,,,,utapata majibu
Pale kwenye chuo cha kiislamu morogoro nadhani everything is possible...pale kwenye majengo ya kuazimanaomba kujua kama mtu asipofaulu vizuri masomo yake ya combination , ila akapata "a" ya dini anaweza kwenda chuo kikukuu kwa mgongo wa dini?
Wewe una lako and you are a fundamentalist Moslem, I can guess! Sababu zilizotolewa siyo hizo unazozisema, it was not a mathematical calculator against a computer mathematical programme. dadisi zaidi utapata ukweli.
Wewe ulifanya huo mtihani?? Mbona waliofanya pamoja na walimu wao walikwishaelewa na wameshamalizana siku nyingi?? Vilaza wa nchii hii shida sana kudeal nao.
Watakusikiliza?Etairo said:Nchi hii ni yetu sote, tunatakiwa tuishi kwa wema kabisa, lkn hali hii ikiendelea uvumilivu utawashinda watu na kuanza kutafuta mchawi, Hebu acheni, tendeni haki na matokeo yake ni amani sahihi.
Ili liwe fundisho, mengine ya dhuluma yanayofanyika yaachwe ili kujenga jamii yenye ustawi sawa ambapo kila mwenye
kujitahidi ataona manufaa yake, na si vinginevyo:angry::angry::clap2:
Wizara ya ardhiSijui mkimaliza hili mtahamia wapi ....??
Ukilaza wako ndio unaokusumbua. Vua blanketi la udini lililokufunika uweze kujudge mambo objectively.Unajaribu kuongea nini..? Hueleweki... kwani hakukuwa na makosa ambayo necta wamekiri?
Ukilaza wako ndio unaokusumbua. Vua blanketi la udini lililokufunika uweze kujudge mambo objectively.