Ubaguzi unaendelea kuitafuna CHADEMA


Wewe mchaga upo chama gani? Nadhani jibu unalo
 
Akiemwekea sumu Kolimba ni mwaacha dema?
Alie mwekea sumu mgimwa ni mwana chadema?
Aliewawekea sumu mwakyembe anyonyoke nywele kama broilla ni cdm!aliemwekea sumu mwandosya??
Ccm mbona hamna aibu na dhambi zenu zipo.wazi?

Unaposema kitu uje na ushahidi sio kuropoka, Ulienda kwa "fundi" gani aliyekueleza watu hawa walikufa kwa sumu na iliwekwa na CCM. una vyeti vyao vya kifo vinavyoonyesha walikufa kwa sumu? Na hata kama ingalikuwa ni kweli, unataka kutuaminisha maadui zao wamo ndani ya CCM tu.
 

Ndugu,
Hawa vijana wa BAVICHA wamekuwa programmed kama robot.

Wao wakikariri yanayosemwa na viongozi wao inakuwa ndiyo wimbo.

Hawana uwezo mkubwa kifikra.

Objective reasoning ndiyo haipo kabisa.
 
Huu unafiki wa CHEDEMA wakusema eti wanafanya maamuzi magumu wakuwatimua wanachama wenye msimamo kinzani ni woga tu...kumbe wanajificha kwenye kivuli cha woga, woga wa kunyang'anywa madaraka, woga wa viongozi wa kupingwa ama kushindwa kwa hoja
Ndugu,
Ni kawaida katika chaguzi kwa mtu ambaye hana vigezo kuwa ni mwoga.

Kuna uwezekano mkubwa huo uwoga ndiyo umepelekea kufukuzana kutokana na hofu ya kupoteza walichonacho kutokana na kukosa vigezo.
 
Ndugu,
Kwenye majukwaa yapi hayo wakati jukwaa langu ni hili!.

Nadhani unafikiria kwa kutumia njozi.

Jikite kwenye hoja iliyoko mezani.

usijitoe fahamu bwana, tukikutaja we ni nani unakimbilia kureport kwa mods.......
 
usijitoe fahamu bwana, tukikutaja we ni nani unakimbilia kureport kwa mods.......
Ndugu,
Jikite kwenye hoja iliyoko mezani.

Kama ni suala la kutaja majina, kwa nini usianze kujitaja?.

Charity begins at home!
 
Ndugu,
Jikite kwenye hoja iliyoko mezani.

Kama ni suala la kutaja majina, kwa nini usianze kujitaja?.

Charity begins at home!

wala nisikufiche nakuchukia sana,watu waliuliwa na bomu pale soweto ukasema chadema imefanya hivyo kujipa promo bila shaka na wewe uko nyuma ya mpango wa wamasai kuwaua wachaga pale Arusha
 

Huu ninaokupa ni ushauri wa bure kabisa!!!

Post za hivi haziisaidii ccm kwa namna yoyote, haiwaongezeeni mwanachama hata mmoja, haiwajengei ama kurejesha imani hata kwa mwananchi mmoja,

Fanyeni hivi mkamateni pinda na kumfungulia mashtaka ya matumizi mabaya ya madaraka, mkamateni jk na kumfungulia mashtaka ya wizi, mkamateni na kumfungulia maahtaka ya wizi bwana mamvi, mzuie mali zake kuwa kwenye milki yake wakati wa kesi, mfilisini chenge, huyu mtieni korokoroni akae huko bila mashtaka manake anajivunia sana sheria ya Havard university nyang'au katuuza huyu.

Then mtakuwa na cha kuwaambia wenye nchi.
Kinyume na hivyo, aah watu wanakumbuka TRC mkamleta Muhindi akafungua account kwa jina la TRL mkavunja mkataba nae kwa kumlipa mabilioni yetu kibao, chenge anaangalia ki macho ya nyoka makengeza,

ATC huku mmeongeza L mkasajili na nembo kwa mbwembwe imekuwa kuwa ATCL shirika halina ndege hata moja, sijui kama angalau wa hiace, chenge linatumbua mimacho tu,

Kiwanda chetu cha magurudumu GENERAL TIRE kiko wapi?
.
.
.
.


UKOME KUTULETEA TAKATAKA ZAKO HAPA, UKIKAIDI NAKUBANDIKA JINSIA YA KIKE KWENYE PAJI LA USO WAKO UONE UTAKAVYOSUMBULIWA.

ETI UBAGUZI UNAWATESA UBAGUZI UNAWATESA, MNADHANI HATUONI CCM MNAVYOTUTESA EEEEH???! SUBIRINI DAWA YENU.
 

Duh. Ina maana mama yako pia anasumbuliwa? Maana ni jinsia ya kike pia
 
With due respect
Kyela hamna wachaga na CHADEMA ikashinda kuongoza mamlaka ya mji mdogo kutoka vitongoji 2 mwaka 2009 hadi 28 mwaka huu

Nadhani kuna mwamko fulani umewaingia watz au una wazo gani?
Kyela kuna wachaga wee p. Mbi
 
Ndugu,
Ndicho nini hiki ulichoandika?.

Watu wa fikra za aina yako inafaa mtambue uwezo wenu katika kukabiliana na hoja zinazohitaji fikra pevu.

Kuna mdau mmoja alishawahi kuandika, ficha upumbavu na usifiche hekima.

Unaonyesha hata dharau kwa mama zako, utaweza kuonyesha heshima kwa majirani zako?

Kujenga hoja na mtu wa aina yako ni kupoteza muda.

Watafute wenye kiwango chako cha juu katika kifikra muflisi ili muweze kubadilishana hoja muflisi.

Thanks
 

Ungeweza kuikabili hoja yangu hata moja tu ingekuwa maajabu, angalia sasa umeleta porojo kibao, haibadilishi matokeo, ni kwamba ukijumlisha na uandishi wenu huu hamvutii wapigakura kwa namna yoyote zaidi ya kuamsha hasira kali.
 
Ungeweza kuikabili hoja yangu hata moja tu ingekuwa maajabu, angalia sasa umeleta porojo kibao, haibadilishi matokeo, ni kwamba ukijumlisha na uandishi wenu huu hamvutii wapigakura kwa namna yoyote zaidi ya kuamsha hasira kali.
Ndugu,
Wewe unayedhani umeleta hoja, mimi nafahamu ulicholeta ni udaku unaochagizwa na hearsay and reverie.

Sina muda wa kuanza kujenga hoja kwenye reverie and mere talk.

Sorry!
 
Hili ndio tatizo la watu wanafiki.Kutetea kanuni na katiba inapotumika dhidi ya mwingine inamaanisha kwamba haiwezi kutumika dhidi yangu?

Mbona una mawazo primitive kiasi hiki?

Huyu nae eti amejenga hoja hapo juu.

Ukiisoma vizuri post #6 inaonesha wewe ndiyo mnafik, mara unaitetea katiba yako mara unalalamika. Hujasoma kilichoandikwa?
 
Ndugu,
Hawa vijana wa BAVICHA wamekuwa programmed kama robot.

Wao wakikariri yanayosemwa na viongozi wao inakuwa ndiyo wimbo.

Hawana uwezo mkubwa kifikra.

Objective reasoning ndiyo haipo kabisa.

Hivi kati ya wanacdm na nyie Mosul uke ya mafisadi mliokalilishwa serikali mbilibadala ya tatu zinazokidhi matakwa ya wakati n nani robot hapo? hivi kuna gamba anayefikiri zaidi ya kuleta ushabiki wa kipuuzi kwa mafisadi yanayoibia taiga na kulifanya maskini? Ule wimbo wa kuvuana magamba uliishia wapi?
 
Mansour Yusuf Himid
Mwakilishi wa Kiembe Samaki

Mwenye akili timamu anajua nachozungumzia ni nn!Kama kichwani hamnazo huwezi jua
 
Hahahahaaa! raha sana.
Mleta mada atakwambia mbezi ina wachaga wengi. hata mgombea ni mchaga.
Lazima CCM wapigwe mwaka huu kwenye sanduku la kura.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…