Hoja ya msingi ya wakina Mukombosi na wenzake kuwa wakristu hawatendewi haki Zanziba ina ukweli ndani yake.
Tatizo lao wameiingiza kwa kutumia lugha ambayo hao wanaowatuhumu ndio wangetumia. Lugha ya kibaguzi. Lugha ya kukomoana. Hii haikuwa sahihi
Lakini mimi bado msimamo wangu ni ulele kwamba 99% ya wakazi woote wa ZNZ ni waslamu kwa maana hiyo kama kutakuwa na viongozi wakrito 2 miongoni mwa viongozi 10 ni sahihi kabisa tuache malumbano ya kidini yatatufikisha pabaya.
Lakini mimi bado msimamo wangu ni ulele kwamba 99% ya wakazi woote wa ZNZ ni waslamu kwa maana hiyo kama kutakuwa na viongozi wakrito 2 miongoni mwa viongozi 10 ni sahihi kabisa tuache malumbano ya kidini yatatufikisha pabaya.
Swala la Zanzibar ni bahati mbaya viongozi wote wa CUF na CCM wameamua kutumia asilia kama mtaji wa kuongoza nchi na saa ukiingiza hii dimension ya dini miafaka haitakwisha.
Wakristo walioko Zanzibar kama wanainterest na siasa wachukue fomu na wapige kampeni kwa nia ya kuendeleza nchi na si jamii yao.
Jinsi Mkapa Alivyotoa Hata Majengo Ya Tanesco Kuwapa Waislamu Wafungue Chuo Kikuu.
Huenda waoni jinsi kiongozi huyu(mkristo)alivyo na roho ya kujali maslahi ya wananchi wake,bila kuzingatia utofauti wa imani zao.
Mr.Clean uliwapa hawa watu majnego haya,lakini sisi tuna akili timamu,ikitokea hawabadiliki na kuacha ubaguzi wao wa kishenzi,siku tukiushika usukani,tunarudisha vyote chini ya mkono wa serikali milele.
Nasema tena,nasema,majengo haya(mali ya Serikai ya Tanzania) wangelipewa wakristo waanzishe chuo kikuu,au wakipendacho wao,viumbe hawa wangeandama nchi nzima,wakidai "Matumizi mabaya ya mali za serikali yafanywa na Mkapa".
Wakristo wametulia kimyaa,wachache tukihoji,wanavimba na kutuita wabaguzi,jamaniii,haikai akilini hii,nani mbaguzi hapa.
Mungu akujahalie maisha marefu Mchukia Fisadi.
Mkombosi! Naona una chuki binafsi na waislamu kwa jumla! Vuta pumzi kwanza na angalia usiwahukumu wote kwa matendo ya wachache.
wabaguzi wako katika dini zote, waislamu, wakristu, wahindu n.k. hakuna mwenye monopoly kwenye hili.[/QUOTE
Ikiwa kuna mkristo kesha m-bagua mtu wa imani ya kiislamu katika mambo ya kisiasa,n.k(Zanzibar+Tanganyika),Ninatubu kwa hilo,na MUNGU anisamehe na waislamu wanisamehe.