Hapo hakuna cha ubaguzi wala nini! Kimsingi hizo nchi ni bora zingeshirikiana tu na Waarabu wenzao. Kubakizwa kwenye Bara la Afrika, nadhani kumeongeza tu mkanganyiko.
Hao ni Waarabu na siyo Waafrika! Hivyo tuzo za Waafrika wapewe Waafrika. Na hao Waarabu watafutiwe utaratibu wa kushindana na Waarabu wenzao. Kwanza sina imani kama wanatupenda sisi Waafrika wenye ngozi nyeusi, au wanawapenda Waarabu wenzao katika kila jambo.