Ubadhirifu uliofanywa na CHADEMA uwe mfano kwa Watanzania jinsi dola inavyotumiwa vizuri na CCM

Jamaa anayegawa fedha kwenye gari anazitoa wapi? Ana biashara gani za kugawa fedha hivyo? Mara milioni 10 kanisani, mara tano , mara msikitini, anazitoa wapi?
Unauliza jibu? Kwa nani msimamizi mkuu wa hazina?
 
Ta
Naandika hivi sababu mara kwa mara Chadema wamekuwa wakilalama hovyo kuwa CCM haitumii dola vizuri.Na imekuwa ikitumia kunyanyasa wapinzani na kuminya demokrasia hapa nchini. Jambo ambalo sio kweli.

Serikaki ya Ccm imekuwa ikitumia dola kwa manufaa ya umma. Mfano tumeshuhudia namna Polisi walivyofanikiwa kudhibiti utoroshwaji wa dhahabu kwenda nje ya nchi na baada ya kuanzisha maduka ya dhahabu na madini karibu kila mkoa serikali imepata mapato ya bilion 475+ toka yale ya awali ya bil 100+

Pia tumekuwa tukishuhudia Takukuru wakirudisha mali za wananchi zilizoporwa na wahuni wachache,hili hasa limeshuhudiwa kwenye vyama vya ushirika ambavyo mali zao nyingi zilikuwa zimeporwa na mafisadi.

Sasa limeibuliwa tuhuma zito ambalo kila haamini kama ni kweli. Maana chama ambacho awali kilijinasibu kuwa ni chama kinachopinga ufisadi kumbe ni mafisadi wa kutupa.Mwenyekiti wao amekuwa akilipwa deni hewa zaidi ya bil 8.

Pamoja na hilo kuna pesa ambazo wabunge walichangishwa lakini sasa hazijulikani zilipo.

Hivyo basi Takukuru ihakikishe wote ambao walikwapua hizi pesa wanafikiswa mahakani na hatua stahiki zichukuliwe. Sababu hizi ni pesa za wavuja jasho.

Na huu utakuwa mfano halisi ya namna chama tawala kinavyotakiwa kutumia dola ili kulinda mali ya umma.
Takukuru inaiogopa ile ripoti ya ubadhirifu wa Mali za ccm iliyofanywa na Msando
 
Takataka
 
Kweli kichaa huona watu wote ni vichaa duniani, isipokua yeye tu ndo mwenye akili timamu.

Hizo zote hazikuwai kuingia takukuru wala wapi, sana sana ilitolewa taarifa ya uchunguzi unaendelea na nadhanu utaendelea hadi miaka 100 ndo majibu mtatoa,, ambapo kwa nyie praiser team ni kawaida yenu.

Kingine unataka majibu gani humu JF kuhusu hiyo ishu,, kwasababu iko Takukuru na uchunguzi unaendelea. Ungekua na akili ungejituliza tu
Hayo masuala yote yalishatolewa majibu. Ungekuwa na akili timamu ungedili na hili la Chadema ambalo halijapata majibu.
 
Kweli kichaa huona watu wote ni vichaa duniani, isipokua yeye tu ndo mwenye akili timamu.

Hizo zote hazikuwai kuingia takukuru wala wapi, sana sana ilitolewa taarifa ya uchunguzi unaendelea na nadhanu utaendelea hadi miaka 100 ndo majibu mtatoa,, ambapo kwa nyie praiser team ni kawaida yenu.

Kingine unataka majibu gani humu JF kuhusu hiyo ishu,, kwasababu iko Takukuru na uchunguzi unaendelea. Ungekua na akili ungejituliza tu
Unajua kusoma na kuandika?
 
Back
Top Bottom