Bukyanagandi
JF-Expert Member
- Jun 24, 2009
- 11,626
- 18,223
Mkuu na kibaya zaidi unaweza kukuta sataka zima ni an inside job - afisa/mafisa walio ajiriwa katika ofisi ya CAG ndio wanasambaza disinformation hizi kwa lengo la kumchafua CAG - wasitumie hasira zao za kushindwa kupewa Cheo cha u CAG kwa kimbilia kumchafua Prof. wakumbuke Rais ana uhuru wa kumtehuwa yeyote kutoka nje au ndani ya Ofisi ya CAG na silazima atakoke ndani ya Ofisi ya CAG, kwa hiyo msimpige vita Professor wa watu.Ajira zimekua kama kufanya biashara kuaharibiana ili mwingine apate soko..hata kama ni mtendaji mzuri..habari ipo ipo tuu harafu ipo front page...
OKW BOBAN SUNZU pamoja na yote ya kuchafuana, je habari ni za kweli au siyo za kweli?
Nimekuelewa vizuri sana mkuu lakini pia umeyasoma maandishi ya mtu niliye quote? Badala ya yeye kujikita kwenye story analaumu mwandishi kwa maana ya IMANI yake, this is why nilimkumbusha kua mmiliki wa hilo gazeti wapo dini 1 na yeye mwenyewe na huyo mtuhumiwa.
Alafu hawa ndio wanaoendelea kutuaminisha kuwa saed Kubenea hajasoma japo wananchi wa Ubungo kwa wingi wao wamemkataa Dr (PhD) na kumchagua 'STD VII'!!“Kwanza unajua ni makosa kuwa na nyaraka za ofisi ya Serikali, sasa kama ukiandika basi na sisi tutachukua hatua. Pia hayo yote uliyosema mimi sihusiki, watafute watendaji wakupe majibu,” alisema Profesa Assad.
Halafu haya majina ya Assad yana matatizoHuyu CAG Anaweza Kufanya Lolote Ndani Ya Nchi Hii,ukim~DEAL TU ITAONEKANA UNAMUONEA KWA SABABU YA DINI YAKE.RELIGION BAITING.........
Alafu hawa ndio wanaoendelea kutuaminisha kuwa saed Kubenea hajasoma japo wananchi wa Ubungo kwa wingi wao wamemkataa Dr (PhD) na kumchagua 'STD VII'!!
Huyu jamaa namfahamu kabla hajawa hata profesa alikuwa lecturer mzuri wa maadili ya uhasibu pamoja na kuendesha kampuni binafsi ya uhasibu. Kwa muonekano wake wa sasa unaniongezea maswali na nasita kuamini kama anaweza kumjibu mwandishi hivi. Ngoja tusubiri yeye binafsi au ofisi wakitoa majibu ya hii habari.
Nyongeza ni kwa wale walimdharau Tundu Lissu alivyokesha bungeni kupinga sheria ya mitandao na sasa unaona mtu anasema eti kuwa na document inayohusu kuiibia serikali unashitakiwa!
Mkuu na kibaya zaidi unaweza kukuta sataka zima ni an inside job - afisa/mafisa walio ajiriwa katika ofisi ya CAG ndio wanasambaza disinformation hizi kwa lengo la kumchafua CAG - wasitumie hasira zao za kushindwa kupewa Cheo cha u CAG kwa kimbilia kumchafua Prof. wakumbuke Rais ana uhuru wa kumtehuwa yeyote kutoka nje au ndani ya Ofisi ya CAG na silazima atakoke ndani ya Ofisi ya CAG, kwa hiyo msimpige vita Professor wa watu.
Time will tell..Magufuli na CAG kuna kitu hatukijui!
Prof Assad, umeziba mianya yote pale ofisi ya CAG wapigaji wanalia lia ovyo daah!! Wewe mtu hatari sana umeziba pipe zote.
Cha muhimu ushahidi tu.Hii kali. Yaani CAG nae mpigaji? Nahisi anapakwa matope au kuna mtu anatafutiwa kazi. Nitasubiri muda ufungue mengi...
Tuna safari ndefu sana wabongo! Bado hatuna nia wala utashi wa kuuita uovu/ubadhirifu kwa jina lake! Ili uovu ukemewe au utetewe unategemea "nani mhusika"! Kama ofisi ya CAG imefanya ubadhirifu, utabakia ni ubadhirifu tu hata kama watu watamtetea vipi hapa Jukwaani! Na kama ni majungu, ofisi yenyewe ya CAG ina wajibu wa kulishitaki gazeti husika ili sheria iweze kuchukua mkondo wake!