Ubadhilifu Halimashauri ya Jiji la Mwanza

Jimbi

JF-Expert Member
Aug 16, 2010
4,086
4,488
Wakuu,

Serikali hii ina kazi kweli kweli. Waziri mwenye dhamana fuatilia hili haraka, Watendaji wako wa halimashauri ya jiji la Mwanza wanatumia Salary slips za wafanyakazi amabao hawapo kazini ama kwa muda mrefu au walioacha kazi n.k, kuchukulia mikopo kwenye Taasisi mbali mbali.

Ushahidi upo, fuatilia kwa karibu ndugu Waziri wa Tamisemi.
 
Kaka hapo Jiji la Mwanza kuna wezi wa mishahara kibao, sijui ni lini Serikali itafika hapo! Kuna bwana mmoja anaitwa MKENYA, yupo kitengo cha kupitisha PAYROLL za watumishi kila mwezi.

Jamaa ni mtaalam sana wa kucheza na Salary slips za watumishi ambao hawapo kazini ila mishahara yao ina flow, nasikia ana payroll mbili, moja ya kufanyia magumashi na nyingine ndio halali. Jamaa kichwa kweli kweli, siku wakimtumbua JIPU huyo, ataondoka na maafisa utumishi kibao!!
 
Mtajijua na kijiji chenu ( wenyewe mnaita jiji ) si m'mewaona upinzani haufai.

We m.b.w.i.g.a jaribu kuelewa topic kwanza, hapa unaongelewa wizi wa wafanyakazi wa halimashauri, kwa kuchukulia mikopo salary slips za watumishi ambao hawapo makazini kwa muda mrefu ili hali mishahara yao bado inatoka. Umeelewa sasa?
 
Kwahiyo hujui kuwa mbunge wenu ndio angekuwa msemaji wenu ................ ( kama hilo ulijui basi wewe ndio mbwiga na mimi niko sahihi lakini mmeyachagua ma ccm yanashindwa hata kuwasemea hili jambo dogo)
 
Hivi wewe unatafakari kweli kabla ya kuandika? Ama unatumia masaburi kubisha tu?

Kwani mimi ndio nimeleta hii mada? Hapa tunajadili wizi unaoendelea huko Mwanza, wewe unaniambia habari ya Mbunge, kwani hawana mbunge kule?

Sisi ambao hatuishi kule tunahusika vipi na uchaguzi wa mbunge wao? We kuku kweli
 
We umeni-quote ndio mana nami nikaku-quote kwasababu uliniuliza kama ninaelewa kunachojadiliwa na mimi niko sahihi kwa sababu mbunge ndio angeweza kulifikisha hilo tatizo lao haraka kunako kama hutaki kujibiwa usini-quote, na hayo matusi yako nakuvutia muda tu.
 
Jadili mada si watu, kuku we!
 
Wakuu,

Serikali hii ina kazi kweli kweli. Waziri mwenye dhamana fuatilia hili haraka, Watendaji wako wa halimashauri ya jiji la Mwanza wanatumia Salary slips za wafanyakazi amabao hawapo kazini ama kwa muda mrefu au walioacha kazi n.k, kuchukulia mikopo kwenye Taasisi mbali mbali.

Ushahidi upo, fuatilia kwa karibu ndugu Waziri wa Tamisemi.
Ni bora mumpelekee hizi taarifa mbunge wenu bi Angelina ili atumbue hayo majipu . Mlikataa upinzani sasa hivi mnaanza kulialia.
 
Kaka hapo Jiji la Mwanza kuna wezi wa mishahara kibao, sijui ni lini Serikali itafika hapo! Kuna bwana mmoja anaitwa MKENYA, yupo kitengo cha kupitisha PAYROLL za watumishi kila mwezi.

Jamaa ni mtaalam sana wa kucheza na Salary slips za watumishi ambao hawapo kazini ila mishahara yao ina flow, nasikia ana payroll mbili, moja ya kufanyia magumashi na nyingine ndio halali. Jamaa kichwa kweli kweli, siku wakimtumbua JIPU huyo, ataondoka na maafisa utumishi kibao!!
Huyu jamaa tayari keshachongewa humu jf. Subiri muda si mrefu mtasikia magazetini kasimamishwa.
 
Ni bora mumpelekee hizi taarifa mbunge wenu bi Angelina ili atumbue hayo majipu . Mlikataa upinzani sasa hivi mnaanza kulialia.

Dogo usijotoe ufahamu, kazi ya kutumbua majipu ni ya Serikali. Mara ngapi wabunge wetu wamelalamika, na serikali ikakaa kimya tu?
 
Kuna two or three issues hapa (kama nimeelewa vizuri). Kwamba zipi salary slip za wafanyakazi hewa (kwa maana hiyo hata mishahara yao bado ipo kwenye payroll na inalipwa kwa mtu), au ofisi ya HR inatumia salary slip fake kuchukuwa mikopo banki (kwa maana hiyo wanashirikiana na watumishi wa bank) kitu ambacho siyo issue ya utawala wa manispaa (criminal issue), au huyo mkenya ana deal za kugushi majina n.k. Kwa hiyo, nadhani ni bora taarifa itolewe maelezo ya kutosha kwa wahusika.
 
Yule afisa Utumishi wa Jiji la Mwanza aliyeswekwa rumande na RC kwa kughushi mikopo, kesi yake imeishia wapi? Nchi hii bado tunasafari ndefu.
 
Back
Top Bottom