Ubachela raha sana

KUna age limit... Bachela wa 55 years (namaanisha ambaye hakuwahi kuoa au kuolewa) usije ukadhani ana raha ile ile kama bachela wa 25 years..!!! Ukishamaliza kuruka ruka ndo utajuwa ubaya wa ubachela..

Kuna vitu ukivifanya ukiwa bachela mwenye 25 years utaonekana upo sawa, lakini ukifanya yale yale ukiwa bachela mwenye 55 years HADI WEWE MWENYE UTAJISTUKIA...
 
That's point bro ila ikifika muda unasaka dundo la kumalizia nalo maishaaa

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…