Fikirieni baba zenu wangekuwa na muundo huo wa maisha wa kutokuwa na mke. Mngeishia bafuni kama shahawa.Wakati mwingine ni bora mtu ukae kimya kuficha ujinga.
Noooooma mkuuyaani ukiamua kupiga nyeto,,,,,sebleni, jikoni .....popote pale alimradi uko ndani kwako
Hapoo kwenye kupikaa....naeza enda gengeni kununua mazaga....kufika home najikuta nimesahau nunua vitunguu..narudi tenaa gengeni....mara salt imeishaa ata sijuiii......hatari tupu
ukifa umekufa mkuu...ukioza, ukifa kwa bomu, majini ,ukiliwa na mamba yote sawaUnalala peke yako usiku unakufa usingizini unakuja kujulikana baada ya mwili kuoza ,ubachela raha sana!
Mkuu we si ndo yule doctor anaye miliki vx, na ulikua na familia yako , msalimie yule mama aliye kupa milioni 150Wakuu najua mko poa,
Ubachela raha sana,ila usiniinge kabisa.
Kwanza hakuna kubanwa kama ambao wako kwenye ndoa
Unafanya mambo yako kwa kujiamini sana
Upangiwi cha kufanya
Unarudi kwako mda unaotaka
Unaishi kwa furaha sana
Unajipenda sana
Mabachela mkuje hapa tupeana stori mbili tatu
Unaona sawa mtu kufa ndani kisha kuja kujulikana baada ya mwili kuoza?ukifa umekufa mkuu...ukioza, ukifa kwa bomu, majini ,ukiliwa na mamba yote sawa
Kwani hiyo itamcost nini aliyekufa?Unaona sawa mtu kufa ndani kisha kuja kujulikana baada ya mwili kuoza?
Haimcost kitu mkuu ila ni fedheha kwa ndugu.Kwani hiyo itamcost nini aliyekufa?
Haimcost kitu mkuu ila ni fedheha kwa ndugu.
aisee wanachama tupo pamoja kumbeWrite your reply...
yaani hapa ghetto kuna nguo nimeziloweka toka juzi, zinanuka ile mbaya, ngoja nitafua leo night nikirudi..
Inategemea na umri gani yupo ndio maana anasema ubachela rahaHakuna raha ya kua bachela sema tu ni roho mbaya imekujaa
Kuishi na binadamu yoyote yataka moyo mkuu, haijalishi me/ke. Kikubwa we ishi maisha yako wewe kama wewe, duniani tunapita tuInategemea na umri gani yupo ndio maana anasema ubachela raha
Ila ndoa ndoano kuishi na hawa viumbe yataka moyo
Mabachela wengi kiukweli tuna raha kama na pesa ipo yani tunadunda sana ila linapokuja swala la kuweka mtoto wa watu ndani tunaangalia sana mambo mengi ndio maana wengi wanaisha kusema ubachela rahaKuishi na binadamu yoyote yataka moyo mkuu, haijalishi me/ke. Kikubwa we ishi maisha yako wewe kama wewe, duniani tunapita tu
Ni raha kwa sababu hujapata tulizo weweMabachela wengi kiukweli tuna raha kama na pesa ipo yani tunadunda sana ila linapokuja swala la kuweka mtoto wa watu ndani tunaangalia sana mambo mengi ndio maana wengi wanaisha kusema ubachela raha