Ubachela raha sana

Umri haugandi mkuu, hilo pia zingatia usije shtuka upo 40's ndo unaanza kuwwza familia
 
Fikirieni baba zenu wangekuwa na muundo huo wa maisha wa kutokuwa na mke. Mngeishia bafuni kama shahawa.Wakati mwingine ni bora mtu ukae kimya kuficha ujinga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…