Ubachela raha sana

Hata babu na baba yako walikuwa ma-bachelor siku moja... Utakwisha tu huo, one day.
 
Stori mbili tatu ni kwamba.

Nimenunua dagaa mchele ili nikute ugali kwa shemeji nile.

Nimefika nimekuta kapika wali na dagaa. Sasa mimi hawa dagaa mchele nawapeleka wapi?

Akufukuzae hakwambii toka. Nijipange
 
😀😀kwani ulimwambia unabeba hao dagaa? Bora kama hakukuwekea ile sijui pilipili maana haifiki kesho kwenye huo mfuko wako mweusi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…