Samahani mkuu yaani leo umeandika kama bata soma kwa makini ufanye editing[emoji4][emoji13]Wakuu najua mko pia,
Ubachela raha sana,ila usiniinge kabisa.
Kwanza akuna kubanua kama ambao wako kwenye ndoa
Unafanya mambo yako kwa kujiamini sana
Upangiwi cha kufanya
Unarudi kwako mda unaotaka
Unaishi kwa furaha sana
Unajipenda sana
Mabachela mkuje hapa tupeana stori mbili tatu
Hapoo kwenye kupikaa....naeza enda gengeni kununua mazaga....kufika home najikuta nimesahau nunua vitunguu..narudi tenaa gengeni....mara salt imeishaa ata sijuiii......hatari tupuJmos nawaza nipike kisamvu cha karanga na wali au nipike maharage! Ngoja siku ifike nitafanya maamuzi
We mzee ndo unaongoza kwenda kwenye madanguro ya wahaya .....ndo mana huoni Thamani ya ndoa siku ukiacha huo ufilauni ndo utaona umuhimu wa ndoaBachelor sugu nipo hapa,sijaoa ila Nina watoto watatu Maisha burudani kabisa,staki kusikia mambo ya ndoa
Mimi huwa havinipi shida sababu bi Mkubwa alivyotulea alikuwa anatuagiza hasaa sokoni sisi watoto wa kiume, wa kike walikuwa wadogo sana, na katufundisha kupika tangu darasa la nne. Leo hii mwanamke akiniletea nyodo kwenye kupika naangaliaga tu najikalia kimya.Hapoo kwenye kupikaa....naeza enda gengeni kununua mazaga....kufika home najikuta nimesahau nunua vitunguu..narudi tenaa gengeni....mara salt imeishaa ata sijuiii......hatari tupu
Mabachelor msikatishwe tamaa hata hivyo fact ni kua vifo vingi Africa vinatukutia kwenye mishe mishe majanga na hospitaliniUnalala peke yako usiku unakufa usingizini unakuja kujulikana baada ya mwili kuoza ,ubachela raha sana!
Upo mkoa ganiDaah mi nimeuchoka kwakweli,Natamani company maana daah upweke umezidi
Mkuu si bora uoe kuliko kununua siku utanunua maradhiIla kinachonichosha nipale mechi zote zinapokataa kutiki yaani unakaa kitandani usingizi hauji kabisa naishia kwenda kuvuta wa buku kumi fasta
Hata ukioa unaletewa hayo maradhi nyumbani kwa gharama za mahari yako,,, same shit...Mkuu si bora uoe kuliko kununua siku utanunua maradhi
DsmUpo mkoa gani