Ukiwa muongo uwe na kumbukumbu kubwa kuwa jana na juzi ulisema nini, huyu huyu ulisema bahili, huyu huyu mbabe na bado wewe ni single mother, wewe jimama bichwa maji usitake kutuburuzaHabari wana jukwaa, naomba kujua hivi wanaume ndio wababe hivi au huyu nilie nae in kimeo? Yani huyu bwana nna miezi nae mitatu tu, amekua ni mkali balaa haya nashindwa kumuelewa yani anachotaka yeye kiwe ndio hichoicho hasikilizi opinions zangu mfano.
Kama mwezi umepita nilikua na trip ya zenji full moon pati nikamwambia naenda akagoma eti nisiende na sababu ya msingi hana Pili one day nilikua naenda kwenye harusi nikamuaga anasema usiende njoo tuspend hii time together nikamwambia nitakuja afta party eti kasusa kanuna kabisaa na anatabia za kuninunia bila hata mpango...mi kwakweli namshangaa sanaaa...ndivo wanaume mlivo?? Maisha hayo mi siwezi ati
hahaha jamaa bahili halafu ana wivu bullshitNdiyo huyu huyu bahili?
Rejea nyuma usome tenaUkiwa muongo uwe na kumbukumbu kubwa kuwa jana na juzi ulisema nini, huyu huyu ulisema bahili, huyu huyu mbabe na bado wewe ni single mother, wewe jimama bichwa maji usitake kutuburuza
Sio mime jamani lol mbona watz wagumu kuelewaNina was was sana kama kweli una Mme na pia nina was was na upeo wako Huwez kuja kuuliza huku mambo ya Mme wako kwanza hueleweki mara tegemez unampa kila ki2 mara Leo mbabe kesho utatuambia mchafu
Hahaha hapo sawaKwani ndio mwanaume wako wa kwanza? Kama sio hao wengine walikuwa kama yeye?
Ukipata jibu then umejibu swali lako.
Ila una majanga chaaaah!!
Ni vema umuoneshe na hii ID yako hapa JF ili akuelewe. Wewe ni "wakuswampa" yaani mziruraji uliyepitiliza.
Tunatofautiana usiyegemee wote tukafananaSafari moja nilishawai kukutana na dada mmoja akawa ananilalamikia,mmewe akitoka amuulizi umeenda wapi yaan wala hana hata habar ata akichelewa haulizi na wala hamuonei wivu,
Jambo hili yule dada likawa linamuumiza sana,na alitamani kuulizwa au kuonewa wivu,
Ajabu wakat watu wanayatafta haya ww huyataki Mtoa post
Hapa ndipo napata wakat mgumu nisijuwe hasa nini wanawake mnataka,
Na kama kuna shule naombeni mnipeleke nikasome zaidi maana elimu ya kuwajua watoto wa kike ni pana zaidi.....
[HASHTAG]#Nahitaji[/HASHTAG] kujiendeleza
Ni kweli kabisa na ndomana nikasema Nahitaji kujifunza zaidi maana mnatofautiana sana sanaTunatofautiana usiyegemee wote tukafanana
Jinsi unavoishi nao ndivyo utakavojifunza coz pipo are dynamic we are changing according to the environment, tabia ya MTU inategemea factors mbalimbali. So Kwa kukusaidia anzana mitaa like mwananyamala then uje mbezi beach etc, ukimaliza uje Levo ya mikoa pia hutofautisha tabia, then education, weather, social,political, economical, technological, religiously na factors nyingine kibaoNi kweli kabisa na ndomana nikasema Nahitaji kujifunza zaidi maana mnatofautiana sana sana
Wanaume wa hapa JF huwa hawana tatizo kabisa!!...Tafuta mwanaume hapa JF mkuu!....Waliotongoza na kupata wanaume hapa JF kama vile akina atoto,Honey Faith,Nifah e.t.c wanakula maisha ile mbaya!!