Ubabe Wa wanaume katika mapenzi

Hayo sio mapenz n utumwa. Zaman nlkuwa na janaume flan hv yan wivu balaaa nkifanya kitu chochote jibu lake ni nitakuuua, mkienda club mkirud ugomvi balaa nlchoka aliponitolea bastola na kutaka kunishoot na hapo ndo ilikuwa mwisho wa mapenzi. Japo sahv linajitumisha mimeseji.
 
Omba mwenyezimungu asibadilike asikutane na mipaka shume tu akabadili fikra
 
Ni PM tukayacheçk maisha, unahangaika na wababe wa nini wakati waungwana tupo
 
Kwa wafugaji wa wanyama hususani
ng'ombe kuna kukamua maziwa.
utashangaa kama hujui utaratibu wa
kumuhandle huyo mnyama unaweza
kumuuza ukidhani hana/hatoi maziwa.
Siku ukimtembelea aliyenunua ambaye ni mjuzi
wa kukamua unaweza kushangaa wingi wa maziwa
anayotoa mnyama huyo huyo uliyemuuza
kwa kudhani hana maziwa.

Ubabe au upole wa mwanaume
unategemea handling ya mke wake.
kuomba ruhusa na kuaga
ni vitu viwili tofauti katika ulimwengu wa ndoa.

Mimi kama mwanaume,mke wangu
anaweza kunizuia kwenda sehemu
kwa sababu za kiusalama wangu,maana
nikiumia na yeye hatakuwa salama
na huwa namsikiliza kwa roho moja.
Na wala simuite mbabe.
 
Ni mbahili, mchoyo na tegemezi sana ni kama namlea
Njoo kwangu mkulima wa Kyela
Hautapata tena shida hizo
Nitakulea sana
Ni PM tafadhali tuanze yaunda mapenzi yetu machanga!
Nasubiri
 
Mmmhhh....hofu nini sasa? Ulimkuta akiwa na meno 32 banna!
Sio hofu, ni suala la kuwa realistic. I've laid a couple of damsels at the full moon. It's like Cancun or Negril or Montego Bay ...times 10...aibu
 
wanawake bana yani haya maisha ya JPM kama hawayaoni vile mara paty mara nini sijui..aah
 
Huyu Wakuswampa sijui ndiyo Monicca in a new version!? Mara boyfriend anaishi kwao mara tena mbabe na ni 3months relationship aisee ...
 
Bado wivu unamsumbua, mvumilie tu atabadilika one day.
 
Ukijui unachokitaka!!!
Love takes time mwnzio anakujaribu
Aone kama unatii. Na kuheshim mawazo yake.
Hakuna mwanaume anataka kuolewa akil na mwanamke.
Full moon zenji jamaa anajigeuza tu geto .
Wanawake wa dar bana............ovyooooo
 
Hahaha kumbe wakuswampaaaaa
Ndoa umeinoa kaswampeeeeeeee ujiswampeeeeeeee.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…