Ubabe Wa wanaume katika mapenzi

Huyu ni yuleyule bahili au ni mchepuko?
 
Daah!! Sijui unanisema vile? Yaan nahisi kama ni tabia zangu!! Kiukweli hata mm natabia kama hiyo kabisaa
 
Bby ndo umeamua kuja kuñianika huku Ahsante
 
Ungekuwa ww unafNyiwa hivyo ungekubali!!!!!


Mm ningebonda juuu
 

Hela yake unaipenda lkn amri zake huzipendi?Kama amri zimekushijda na hela zake pia zikushinde
 
Jaribu kukaa nae ili muelimishane, b'se naona kama una ubabe fulani dhidi ya nwenzako. Huyo ni mume wako hata uachane nae leo, utakaekutana nae kesho atakuwa hivyo hivyo
Kwan mme au hawara? kama ni mme inaonekana dada hakuwa amejiandaa kuolewa bado anapenda mitoko isiyo rasmi ambayo baada ya kuolewa inatakiwa kupungua, kama siyo kuisha kabisa.
 
Kwan mme au hawara? kama ni mme inaonekana dada hakuwa amejiandaa kuolewa bado anapenda mitoko isiyo rasmi ambayo baada ya kuolewa inatakiwa kupungua, kama siyo kuisha kabisa.
Sio mume ni boyfrens
 
Ngoja wanawake wajanja wamchukue kwanza we nenda kwenye hizo party
 
sio wanaume tulivyo huyo wako ndivyo alivyo kwan ndio mwanaume wako wa kwanza?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…