Ubabe Wa wanaume katika mapenzi

Habarini jamani...
samahanini mimi nyuzi kama hizi nikishasomaga tu comment za watu huwa naishiwa cha kucomment so naamua kupita tu kama hiivi.. heeiy nilikuepo
 
Ni mwanaume fala tu atamruhusu mwanamke wake aende full moon party unaccompanied...it's a fcukfest
Mmmhhh....hofu nini sasa? Ulimkuta akiwa na meno 32 banna!
 
Hata mimi ningelikukataza eboo eti full moon nakujua huko Nungwi hakuna salama kuna wataliano na wagegedaji hatari. Nilimtokea mdada wa kitaliano hajui hata english dadeki zake alipangika kama toto la kimanyema😉
 
Sio wanaume wote tupo hivyo. Girlfriend wangu yupo huru kufanya anachotaka, ila mipaka muhimu.
 
Inaonekana wewe ni kicheche sana unakosa muda wa kufanya ukicheche wako.
 
Sio wote baadhi yao
 
wanaume hawaivi na mke mjuaji au mwenye mamalaka kuzidi yeye,ndo maaana anaweza akajisikia tu kukukataza kitu ili ajue uta respond vipi,ukilazimisha basi hapo anaweka question mark
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…