Ubabe Wa wanaume katika mapenzi

Ubabe Wa wanaume katika mapenzi

uajekundu

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2016
Posts
541
Reaction score
461
Habari wana jukwaa, naomba kujua hivi wanaume ndio wababe hivi au huyu nilie nae in kimeo? Yani huyu bwana nna miezi nae mitatu tu, amekua ni mkali balaa haya nashindwa kumuelewa yani anachotaka yeye kiwe ndio hichoicho hasikilizi opinions zangu mfano.

Kama mwezi umepita nilikua na trip ya zenji full moon pati nikamwambia naenda akagoma eti nisiende na sababu ya msingi hana Pili one day nilikua naenda kwenye harusi nikamuaga anasema usiende njoo tuspend hii time together nikamwambia nitakuja afta party eti kasusa kanuna kabisaa na anatabia za kuninunia bila hata mpango...mi kwakweli namshangaa sanaaa...ndivo wanaume mlivo?? Maisha hayo mi siwezi ati
 
Habari wana jukwaa, naomba kujua hivi wanaume ndio wababe hivi au huyu nilie nae in kimeo?? Yani huyu bwana nna miezi nae mitatu tu, amekua ni mkali balaa haya nashindwa kumuelewa yani anachotaka yeye kiwe ndio hichoicho hasikilizi opinions zangu mfano..kama mwezi umepita nilikua na trip ya zenji full moon pati nikamwambia naenda akagoma eti nisiende na sababu ya msingi hana..Pili one day nilikua naenda kwenye harusi nikamuaga anasema usiende njoo tuspend hii time together nikamwambia nitakuja afta party eti kasusa kanuna kabisaa na anatabia za kuninunia bila hata mpango...mi kwakweli namshangaa sanaaa...ndivo wanaume mlivo?? Maisha hayo mi siwezi ati

We unataka akuchekee tuu??

Uko nae kwa ajili ya kumfurahisha sio mambo ya full moon party
 
Jaribu kukaa nae ili muelimishane, b'se naona kama una ubabe fulani dhidi ya nwenzako. Huyo ni mume wako hata uachane nae leo, utakaekutana nae kesho atakuwa hivyo hivyo
 
Habari wana jukwaa, naomba kujua hivi wanaume ndio wababe hivi au huyu nilie nae in kimeo?? Yani huyu bwana nna miezi nae mitatu tu, amekua ni mkali balaa haya nashindwa kumuelewa yani anachotaka yeye kiwe ndio hichoicho hasikilizi opinions zangu mfano..kama mwezi umepita nilikua na trip ya zenji full moon pati nikamwambia naenda akagoma eti nisiende na sababu ya msingi hana..Pili one day nilikua naenda kwenye harusi nikamuaga anasema usiende njoo tuspend hii time together nikamwambia nitakuja afta party eti kasusa kanuna kabisaa na anatabia za kuninunia bila hata mpango...mi kwakweli namshangaa sanaaa...ndivo wanaume mlivo?? Maisha hayo mi siwezi ati
Ndyo huyu huyu uliyemlalamikia kwa ubahil
 
yaan mtu mmoja huyu huyu mbabe nanibahili!!! Kaz unayo dada
 
Mmmhhh....shosti. ndani ya saa moja umepost kumtuhumu mr wako ni bahili na ni tegemezi. Ulikuwa naye moro akatumia zaidi ya laki. Muda huhuuu umeshapost ni mbabe!
Any way pole, maana sisi wengine huwa tunasikia migogolo kwa majilani tu. Hubby wangu ananipenda adi nikikohoa tu anaita mama Anneth unaniita??
 
So mr wako ni dume suruali bado mbabe na parking inakusumbua...huu mwaka wako...pole
 
ndio mwanaume wako wa kwanza au?haya compare na vimeo vyako vya nyuma....labda huaminiki
 
Habari wana jukwaa, naomba kujua hivi wanaume ndio wababe hivi au huyu nilie nae in kimeo?? Yani huyu bwana nna miezi nae mitatu tu, amekua ni mkali balaa haya nashindwa kumuelewa yani anachotaka yeye kiwe ndio hichoicho hasikilizi opinions zangu mfano..kama mwezi umepita nilikua na trip ya zenji full moon pati nikamwambia naenda akagoma eti nisiende na sababu ya msingi hana..Pili one day nilikua naenda kwenye harusi nikamuaga anasema usiende njoo tuspend hii time together nikamwambia nitakuja afta party eti kasusa kanuna kabisaa na anatabia za kuninunia bila hata mpango...mi kwakweli namshangaa sanaaa...ndivo wanaume mlivo?? Maisha hayo mi siwezi ati
Kuna ulichompendea ndo kinakutesa.
 
Mmmhhh....shosti. ndani ya saa moja umepost kumtuhumu mr wako ni bahili na ni tegemezi. Ulikuwa naye moro akatumia zaidi ya laki. Muda huhuuu umeshapost ni mbabe!
Any way pole, maana sisi wengine huwa tunasikia migogolo kwa majilani tu. Hubby wangu ananipenda adi nikikohoa tu anaita mama Anneth unaniita??

Ila we mwenyewe wiki iliyopita tu, uli-comment kuwa single mother, divorced, na una undugu na baba wa mwanao. Ndio JF.
 
Wanaume wa hapa JF huwa hawana tatizo kabisa!!...Tafuta mwanaume hapa JF mkuu!....Waliotongoza na kupata wanaume hapa JF kama vile akina atoto,Honey Faith,Nifah e.t.c wanakula maisha ile mbaya!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom