Ubabe wa Marekani unajitanua zaidi

Ubabe wa Marekani unajitanua zaidi

MakinikiA

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2017
Posts
5,354
Reaction score
7,208

Ramani
Rais wa Marekani Donald Trump amekuwa tathmini "mbinu tofauti" zitakazosaidia kuchukua eneo la Greenland, ikiwa ni pamoja na matumizi ya kijeshi, White House ilisema.

Ikulu ya White House iliiambia BBC kwamba kupata Greenland - eneo linalojitawala linalosimamiwa na nchi mwanachama mwenzao wa Nato Denmark - lilikuwa "kipaumbele cha usalama wa kitaifa".
Kauli hiyo imekuja saa chache baada ya viongozi wa Ulaya kutoa tamko la pamoja la kuiunga mkono

Denmark, ambayo imekuwa ikipinga mpango wa Trump kunyakua kisiwa hicho cha Arctic. Mwishoni mwa wiki Trump alirejelea kauli ya kwamba Marekani "inahitaji" Greenland kwa sababu za usalama, na kumfanya Waziri Mkuu wa Denmark Mette Frederiksen kuonya kwamba shambulio lolote la Marekani litamaanisha mwisho wa Nato.

Ikulu ya White House ilisema Jumanne: "Rais na timu yake wanajadili chaguzi mbalimbali ili kutekeleza lengo hili muhimu la sera ya kigeni, na bila shaka, kutumia jeshi la Marekani daima ni chaguo kwa Amiri Jeshi Mkuu."

Nato ni muungano wa kijeshi wa mataifa ya Ulaya ambapo washirika wanatarajiwa kusaidiana kudhibiti mashambulizi ya nje. Siku ya Jumanne, washirika sita wa Ulaya walionyesha mshikamano wao na Denmark.

"Greenland ni mali ya watu wake, na Denmark na Greenland pekee ndizo zinazoweza kuamua juu ya mambo yanayohusu uhusiano wao," viongozi wa Uingereza, Ufaransa, Ujerumani, Italia, Poland, Uhispania na Denmark walisema katika taarifa ya pamoja.
Soma pia:

The US' long interest in mining Greenland

Greenland is huge – it's the world's largest island – and has considerable untapped mineral wealth. Now, US President Donald Trump has shown renewed interest in taking control of the territory. But it's the not the first time the US has tried to acquire the island, an autonomous Danish dependent territory.
1867: Then US Secretary of State William Seward raised the idea of annexing Greenland, along with Iceland.

1910: The then US ambassador to Denmark, Maurice Francis Egans, made the Danish government an offer: to exchange Greenland in return for the Dutch Antilles and the Philippine island of Mindanao.

1946: Then US Secretary of State James Byrnes presented the first offer to buy the island for $100m in gold bullion – worth roughly $1.5bn (£1.3bn) today.

2019: Trump first showed interest in the purchase of Greenland – which was quickly rejected by Danish PM Mette Frederiksen who described the suggestion as "absurd".
 
Back
Top Bottom