Ubabe wa Makamba... ashinikiza mwanae awe mbunge....


kui

kui

JF-Expert Member
Joined
Mar 2, 2009
Messages
6,473
Likes
5,143
Points
280
kui

kui

JF-Expert Member
Joined Mar 2, 2009
6,473 5,143 280
"Jee unajuaaliyemshauri nyerere makamba apewe nafasi kwenye chama ni marehemu mzee kawawa baada ya kumuona akiwa anacheza sana ngoma kwenye sherehe....."

Nhuh!, kaaaaaaaaaazi kwelikweli
 
FDR.Jr

FDR.Jr

JF-Expert Member
Joined
Jun 17, 2008
Messages
1,339
Likes
100
Points
160
FDR.Jr

FDR.Jr

JF-Expert Member
Joined Jun 17, 2008
1,339 100 160
Huyu sie yule mtoto wake aliyefukuzwa kazi ya Uhakimu kule mahakama ya mkoa sababu ya ulevi? If so anawezeje kuwa mfano mwema kwa jamii atakayoiongoza?
++ Plus kubwa ya kumtongoza mke wa JAJI ambaye ni mtumishi mwenzake mahakamani hapo akaharibu kabisa maana uzalendo wa kiungwana ukashindikana kila kona maana ushahidi ulikuwa dhahiri Bimkubwa akilalamimikia embarassment za kijana mwenzetu.
 
Mess

Mess

JF-Expert Member
Joined
Mar 2, 2009
Messages
667
Likes
5
Points
35
Mess

Mess

JF-Expert Member
Joined Mar 2, 2009
667 5 35
Jamani cha kuweza kuangalia ni kwamba huyu January Makamba ana uwezo wa kuongoza? kama anao mpeni kama hana kwa kweli msimpe na huu sasa unakuwa mchezo mchafu kabisaaa. Mimi nilianza kumsikia huyu mtoto wakati wa sakata la Malaria na sugu. Kwa hio mwenye wasifu wake atupe kama kazi anaweza.
 
Balantanda

Balantanda

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2008
Messages
12,389
Likes
1,170
Points
280
Balantanda

Balantanda

JF-Expert Member
Joined Jul 13, 2008
12,389 1,170 280
Hivi unajua kwamba mzee makamba aliwahi kufukuzwa shule baada ya kumpa mimba mwanafunzi wake yeye akiwa mwalimu????

Jee unajuaaliyemshauri nyerere makamba apewe nafasi kwenye chama ni marehemu mzee kawawa baada ya kumuona akiwa anacheza sana ngoma kwenye sherehe.....

Jee unajua kwamba mzee makamba alishawahi kugombea ubunge jimbo la bumbuli mara mbili akashindwa.

Mwaka huu sasa amempeleka mwanae january makamba akagombee jimbo lile aliloshindwa yeye na kushndana na mzee shelukindo ambaye alimshinda.
Safari hii anaenda akiwa yeye ndiye katibu wa chama cha ccm ambacho ndicho mwanae anachotumia kugombea, na pia mwanae huyo akiwa akifanya azi na raisi, mwenyekiti wa chama.

Wengi tunamjua january makamba japo hata kama sio sana.
Kinachotokea sasa ni kwamba mzee makamba anatumia nafasi yake kushinikiza kijana wake ndio aje awe mbunge w bumbuli kwa hali yoyote...mazingira yote yanaonyesha na dalii zote zinaonyesha hivyo nitatoa baadhi ya mifano:

1. Kuna vipepelushi jimboni bumbuli vinavyosema mbunge wa 2010 bumbuli ni januarymakmba na kama kun wanachama hawana makadi ya chama basi wawasiliane na viongozi wa chama.....

2. Mzee makamba akiwa ktka ufunguzi wa shule katika kata ya tamota, alimuita january aje akae karibu na mzee sherukindo na kumuambia mzee sherukindo amroge kama anaweza, pamoja na kutoa maneno ya kejeri..

3. Mzee makamba ameonana na makatibu wa kata wote wa jimbo labumbuli na kuwataka wafanye kazi moja tu ya kumtangaza january, mkutano wa kwanza ulifanyika, mahezanguru...

4. Baadhi ya makatibu kata waliogundulika kutomuunga mkono january makamba au kushindwa kutoa ushirikiano katika kampeni mpaka sasa wamesimamishwa kazi kwa amri ya makamba japo viongozi wa wilaya waliwapa tu onyo, makatibu 2 wamesimamishwa na wengi wamepewa onyo.

5. Baadhi ya watendaji wa kata pia wamebadilishwa na kutolea jimboni bumbuli baada ya kubainika hawaungi mkono kampenza january katika maeneo yao, watendaji wa mgwashi na bumbuli wamehamishwa...walihisiwa kusaidia mbunge aliyepo madarakni.

6. January makamba amefanya kampeni za wazi katika kata zote kwa mikutano ya hadhara ikiwa ni pamoja ni kutoa pesa hadharani kwa wananchi lakini hakuna aliyechukua hatua na badal yake ccm mkoa imeamua kusamehe yaliyopita wakati huohuo wakilalamikia mzee sheluindo kufanya kampeni japo ni kazi yake bado kukutan na wnanchi wake, lakini la january ahalikusemwa na kusemwa la mheshimiwa....

7. January amefnya mikutano n wazee na akina mama katika kata za vuga,mgwashi na bumbuli kwa kuandaa vyakula na kutoa pesa kwa wahudhuliaji wote, lakini hilihalijasemwa na mtu pamoja na kulalamikiwa na wananchi...

8. Januar anapigiwa kampeni na viongozi wa chama kinyume na kanuniza chama, hata ktika misafara yke huongozana na viongozi hao.

Yapo mengi yanayolalamikiwa na wananchi na hata viongozi wa chama lakin hakuna hatua zinazochukuliwa....kisa ni mtoto wa katibu mkuu na mtu wa karibu wa mwenyekiti wa chama (raisi)...

Zipo tetesi kwamba january anatumika kumuondoa tu mzee shelukindo na hata yeye dio sera anayonadi na sio kutaka kusaidia wananchi, katika sherehe ya kufungua shule yake mzee makamba aliashukuru marafik wake waliomchangia kina rostam azizi, yusuph manji.....na mzee lowasa.

"kakia ka mbuzi kahaghia kahelala"....mkia a mbuz hufagia pale unapolala...ndio usemi maarufu wa mzee makamba na labda ndio maana toka amewahi kuwa kiongozi amekuwa akisaidia eneo moja tu analotoka,na sio jimbo lote au wilaya yote au mkoa wote.....

Mambo bao...
Acha udaku bwana......Nilichokiona hapa ni kitu kimoja,kwamba kuna uwezekano mkubwa January Makamba akashinda ubunge wa Bumbuli...kwamba January ni tishio sana kwa Shelukindo,sasa ili kumpungua spidi baadhi ya watu ukiwemo wewe(Mtazamo wangu....hii si thread yako ya kwanza kuhusiana na JM na ubunge wa Bumbuli) mmeanzisha kampeni ya kumchafua January na babaake kisa tu ni katibu mkuu wa CCM(T)...Cmon,hizi ni dalili za uoga bana....shindaneni kwa hoja badala ya kuanza kuchafuana kusiko na mpango wala tija....Si vibaya Shelukindo akashindwa na kupumzika....Hizi ni dalili za mfa maji....kamwe haishi kutapatapa...Halafu...iweje unaanza kumshambulia mzee Makamba kisa tu mwanawe ana nafasi kubwa ya kushinda Bumbuli???...acha hizo mazee.....Pambaneni kwa hoja badala ya viroja
 
andrewk

andrewk

JF-Expert Member
Joined
Apr 13, 2010
Messages
3,104
Likes
59
Points
145
andrewk

andrewk

JF-Expert Member
Joined Apr 13, 2010
3,104 59 145
haya tumesikia, naona hapo kuna mawazo mgonganoooo, hawa wazee wa ccm hawajui maadili ya uongozi, keshoo anampendekeza mkewe awe mbunge pia
 

Forum statistics

Threads 1,236,724
Members 475,218
Posts 29,267,320