VUTA-NKUVUTE
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 6,140
- 18,007
mimi niliipost kwenye jukwaa la Siasa lakini nimeshangaa kuikuta huku.Usumbufu wowote usamehewe
Jana,Rais Jakaya Mrisho Kikwete alifanya 'ziara' katika Wizara ya Ujenzi.Alitumia ziara hiyo 'kumvua nguo' Waziri wa Wizara hiyo John Pombe Magufuli kwa kumuita mbabe na mchonganishi.Ubabe wa Magufuli ni kusema kuwa hata jengo lolote la CCM lililo eneo la hifadhi za Barabara atalibomoa.Je,wanajamii mnakubaliana na Rais Kiwete,no Kikwete kuwa Magufuli ni mbabe na mchonganishi?

Huyo JK ndiye mbabe, tena anavunja ethics za leadership. Huwezi kumuaibisha kiongozi tena waziri wa serikali.mkuu ccm hakuna collective responsibility, good governance etc. kumvua nguo magufuli mbele ya junior officers kama alivyofanya jk ni kutomtendea haki. Hata kama magu alikuwa na kosa alipaswa kumweleza na kumwelekeza wakiwa wawili tu. Mbona yeye jk alikuwa anaelekezwa na Mzee mkapa wakiwa wawili tu.
in ccm there is a lot of insubordination ni bora hata kijiwe cha wavuta bangi.
Na zilitimia πmbio za urais 2015 zimeanza..........
Ndio tumempata sasaMagufuli sijui anasubili nini CCM....binafsi namuona ni mtu anasimamia sheria bila kujari masila ya mafisadi na chama chao
Hili kaburi tamu kishenzi ππππNa zilitimia π