Ubabe wa John Magufuli huu

Ubabe wa John Magufuli huu

Imebidi niangalie upya Ni forum gan, Yan siasa zimevamia Tech Forum
 
Jana,Rais Jakaya Mrisho Kikwete alifanya 'ziara' katika Wizara ya Ujenzi.Alitumia ziara hiyo 'kumvua nguo' Waziri wa Wizara hiyo John Pombe Magufuli kwa kumuita mbabe na mchonganishi.Ubabe wa Magufuli ni kusema kuwa hata jengo lolote la CCM lililo eneo la hifadhi za Barabara atalibomoa.Je,wanajamii mnakubaliana na Rais Kiwete,no Kikwete kuwa Magufuli ni mbabe na mchonganishi?
Sasa Kikwete alimjua tangia zamani inakuwaje akambeba na kutushushia zigo sisi waTZ?
 
Back
Top Bottom